Katika kipengele hich tutajifunza dhana ya ibada katika uislamu,maana ua ibada
5 .MTAZAMO WA UISLAMU JUU YA IBADA.
5.1.Dhana ya Ibada katika Uislamu.
- ‘Ibada’ linatokana na neno la Kiarabu ‘abd’ lenye maana ya mtumwa au mja.
- Hivyo, ‘Ibada’ maana yake ni kumtumikia Mwenyezi Mungu (s.w) kikamilifu kwa kufuata maamrisho na kuacha makatazo yake yote.
- Pia ‘ibada’ lina maana ya kila jambo (kitendo) analoliridhia Mwenyezi Mungu (s.w).
Rejea Qur’an (51:56).
- Ibada maalumu kama vile; swala, funga, zaka, hija, n.k. ndio nyenzo kuu za humuandaa na humuwezesha muumini kumuabudu na kumtumikia Allah (s.w) kwa kila kipengele cha maisha ya binafsi, kifamilia na kijamii.
- Kila jambo jema ni ibada inayomkurubisha mja kwa Allah (s.w) kama litafanywa kwa misingi ya Qur’an na Sunnah za Mtume (s.a.w).
Jaabir na Hudhaifa (r.a) wameeleza kuwa Mtume wa Allah amesema:
“Kila kitendo kizuri ni sadaqat” (Bukhari na Muslim).
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Tunajifunza katika Qur-an na hadithi sahihi kuwa Imani ya Kiislamu imejengwa juu ya nguzo sita zifuatazo:1 Kumuamini Allah (s.
Soma Zaidi...Mtazamo wa uislamu juu ya ibada (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...Maringo, majivuno, majigambo, dharau ni vipengele vya kibri.
Soma Zaidi...Mwanaadamu ametunukiwa neema mbali mbali na Mola wake kuliko viumbe wengine wote kama tuanvyojifunza katika aya mbali mbali za Qur'an.
Soma Zaidi...Ushahidi wa kuthibitisha kutendeka kwa kosa la uzinifu unapatikana kwa namna tatu zifuatzo: (i)Kushuhudia tendo hilo likifanyika kwa wakati mmoja watu wanne Mukalafu (Walio baleghe na wenye akili timamu), wakiwa ni Waislamu waadilifu.
Soma Zaidi...Mitume wameletwa kuwa Waalimu na viongozi wa kuwafundisha watu Uislamu na kuwaelekeza kuusimamisha Uislamu katika jamii kinadharia na kimatendo kama tunavyojifunza katika Qur-an:βKwa hakika Tuliwapeleka Mitume wetu kwa dalili wazi wazi na Tukavitere..
Soma Zaidi...