MTAZAMO WA UISLAMU JUU YA DINI


image


Kwenye kipengele hichi tutajifunza mitazamo ya kikafiri juu ya dini.


3.MTAZAMO WA UISLAMU JUU YA DINI

3.1 Mtazamo wa Kikafiri juu ya Dini.

- Kafiri Mutlaq ni yule anayekanusha moja kwa moja kinadharia na kivitendo kuwepo kwa Allah (s.w), maamrisho yake, vitabu vyake na mitume wake.

 

-  Kwa mtazamo wa Kikafiri, neno ‘Dini’ lina maana zifuatazo;

  • Ni imani juu ya kuwepo Mungu Muumba.

“Belief in the existence of a supernatural ruling power…” (English Dictionary)

  • Ni imani inayohusiana na mambo ya kiroho baina ya binaadamu na Mwenyezi Mungu.



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    2 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    3 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    4 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    5 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    6 Jifunze fiqh    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Maana ya shahada
Nguzo za uislamu (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Mazingatio kabla ya kuosha maiti
Mambo ya faradh kwa maiti ya muislamu (EDK form 2:dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Mafunzo yatokanayo na upinzani wa maquraish dhidi ya uislamu
Bara arabu zama za jahiliyyah (EDK form 2 dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Saratul-humaza
Quran (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Mgawanyo sahihi wa elimu kwa mtazamo wa uislamu
Ni upi mgawanyo sahihi wa elimu kwa mtazamo wa uislamu (EDK form 1: mgawanyo sahihi wa elimu kwa mtazamo wa uislamu Soma Zaidi...

image Maswali kuhusu Quran
Quran (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Tofauti kati ya zakat na sadaqat
Nguzo za Imani, tofauti kati ya sadaqat na zakat (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Nguzo za swala ya maiti
Mambo ya faradh kwa maiti ya muislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Lengo la funga linavyofikiwa
Nguzo za uislamu (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Nguzo za kufunga ramadhani
Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...