je na wewe ni mmoja katika wenye maumivu ya tumbo upande mmoja?. Basi post hii ni kwa ajili yako.
Swali:
Mtu mwenye maumivu ya tumbo upande wa kushoto anaweza kutumia tiba gani ya asili ambayo inaweza kumsaidia kupunguza maumivu?
Kabla ya kuangalia ni dawa gani ya kuponesha vyema kujuwa kwanza ni tatizo gani. Na ni kipi chanzo cha tatizo.
Chanzo cha maumivu:
Bila ya vipimo ni ngumi kujuwa chanzo halisi cha maumivu. Hata hivyo huwenda ikawa moja ya vifuatavyo: -
Tumbo la chango
PID
Typhod
Ngiri
UTI
Kukosa choo
Tumbo kujaa gesi
Minyoo
Shida kwenyr figo
Huwenda zokawepo sababu nyingine zaido.
Ni ipi tiba:
Tiba ya maumivu hayo hutolewa kulingana na chanzo. Vyema kwanza kupata vipimo ndipp upate tiba kulingana na chanzo cha tatizo.
Kupata tiba asili jambo jema ni kuenda kwa mtoaji wa tiba za asili. Katika hali za kawaida majani ya mpera yanaweza kuwa dawa nzuri ya tumbo. Hata hivyo vyema kupata maelekezo sahihi kutoka kwa mtaalam wa tiba hizo.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi namna ya kuzuia maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo, hizi ni njia ambazo zinapaswa kufuatwa ili kutokomeza kabisa maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo.
Soma Zaidi...Maumivu ya mgongo yanaweza kuwa ni dalili inayoonyesha tatizo fulani la kiafya ikiwemo magonjwa au majeraha.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea sababu za maumivu ya tumbo kitovu i
Soma Zaidi...Kaswende ni maambukizi ya bakteria kawaida huenezwa kwa kujamiiana pia ugonjwa huu hujulikana kama syphilis. Ugonjwa huu huanza kama kidonda kisicho na maumivu kwa kawaida kwenye sehemu zako za siri, rektamu au mdomo
Soma Zaidi...Hapa utajifunza sababu za kuwepo na maumovu ya tumbe kitomvuni.
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na sababu zinazopelekea kukosa choo ,yaani kinyesi kuwa kigumu au kukosa kabisa choo.
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea kuhusiana na sababu zinazosababisha kinjwa au mdomo kutoa harufu mbaya?
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mbinu mbalimbali ambazo zinaweza kutumika ili kuweza kupunguza kiwango cha kuwepo kwa magonjwa ya kuambukiza, kwa hiyo zifuatazo ni mbinu ambazo zinapaswa kutumika ili kupunguza kiwango cha magonjwa ya kuambukiza.
Soma Zaidi...