Posti hii inahusu zaidi mwendelezo wa hadithi ya Binti mfalme sehemu ya tano, baada ya bibi kuachana na mke mdogo wa mfalme alienda kwa kijana wa kiume wa mfalme na kuona udhaifu wake kwamba anapenda sana mali.
1. Baada ya bibi kuachana na mke mdogo wa mfalme alienda kwa kijana wa kiume wa mfalme na kugundua kwamba anapenda sana mali. Kwa hiyo bibi akagundua namna ya kumtega ili aweze kuona mke wa pili ili aje apate ufalme na bibi apate sehemu ya kuishi na kutunzwa.
2. Palikuwepo na mzee mmoja alikuwa na kiwanja kikubwa cha madini mbalimbali kwa hiyo bibi alisafiri akaenda huku na kuongea na mzee kwamba kuna mtoto wa kiume wa mfalme angependa kuchimba madini pamoja nawe, basi yule Mzee aliogopa sana na kusema yeye ni nani mpaka afanye kazi na mtoto wa pekee wa kiume wa mfalme? Bibi akasema usihofu yeye ameomba,
3. Basi yule mzee alikuwa na mabinti wanne wazuri sana . Bibi akamwambia sheria ni kwamba ukimpatia mtoto wa kiume wa mfalme sehemu ya kuchimba ni lazima umpatie na binti mmoja wa kumliwadha na mzee akafurahi sana kuona binti yake anaolewa na mtoto wa mfalme, kwa hiyo binti akaandaliwa vizuri na kupambwa kwa ajili ya mtoto wa kiume wa mfalme.
4. Basi bibi alienda kwa mtoto wa kiume wa mfalme na kumwambia yote kuhusu mali na madini kutoka kwa yule mzee, mtoto wa kiume wa mfalme alifurahi sana kusikia kitu kinachoitwa madini na kusikia mali kwa hiyo siku hiyo mtoto wa kiume wa mfalme akaandamana na umati mkubwa wa watu na farasi watu wa kijiji cha yule mzee waliogopa sana ila bibi aliwahakikishia usalama na amani pia.
5. Basi mtoto wa mfalme akaonyeshwa sehemu kubwa ya kuchimba akaanza kuchimba, na akapiga hema uko, ila siku ya kwanza alichoka mno alipoingia chumbani kwake alikuta binti mzuri alifurahi sana kuona jinsi alivyoandaliwa na yule mzee binti mzuri mno akalala naye na ilikuwa siku ya kubeba mimba akabeba mimba ya mapacha wa kiume na baada ya siku chache aliambiwa habari ya ujauzito wa mke wake alifurahi sana kwa sababu yule mke wa kwanza hakuwahi kuwa na mimba.
6. Basi bibi baada ya kuchimba kila kitu akamwacha mtoto wa kiume wa mfalme na mke mpa akaenda kwa mke mdogo wa mfalme akamwambia kila kitu na yule mama alifurahi mno.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii ni mwendelzo wa hadithi ya ukweli ambayo imetokea siku sio nyingi jinsi Moses alipoacha kumwoa Rhoda naye akachanganyikiwa takribani miaka kama mitano hivi.
Soma Zaidi...Post hii inahusu mwendelezo wa hadithi ya Nimlaumu nani ambapo juma anapanga na madaktari wanaopima DNA ili kuweza kutambua kwamba mtu mimba ni ya kwake na sio ya Frank kwa hiyo tuendelee kusikiliza mpaka tutakapoona mimba itakuwa ya Frank au juma.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi mtoto wa tajiri na mtoto wa maskini wakipanda gari kuelekea shule kuanza maisha mapya.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mwendelezo wa hadithi ya vijana wawili,ambapo Mama yake na Jackie pamoja na jack wakiwa hospital na jack anaendelea kumwita Julius kila mara.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi hadithi ya vijana wawili ambapo mtihani unafika ila Jackie hakujiandaa alishutuliwa na marafiki zake baada ya kuona mwenendo wake haueleweki.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi hadithi ya vijana wawili ambapo mitihani inaisha na wanaanza kuhukumiwa mmoja baada ya mwingine.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mwendelezo wa hadithi ya Binti mfalme, baada ya kijana wa kiume wa binti mfalme kuoa yule ndugu yake baba anafanya sherehe kubwa na wake wenza wamepata habari kwamba kijana wa kiume wa mfalme ameoa ndugu yake wakaamuru kunyamaza il
Soma Zaidi...Post hii ni mwendelezo wa hadithi iliyopita ambapo Frank aliwakuta Amina ambaye ni mpenzi wake ameumbatiana na James ambaye ni rafiki yake ,kwa hiyo tuendelee kusikia yaliyotokea baada ya Amina na James kukutwa na Franki.
Soma Zaidi...Post hii ni mwendelezo wa hadithi ambayo Kwa jina inaitwa wakati wa Kufumbuka, ni mwendelezo wa pale maria anawekwa mbele ya wazee Ili akili kwamba John sio mtoto wa Mzee maganga ila maria akikumbuka wazi kwamba John ni mtoto wa Mzee maganga anakataa kuki
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi watoto Hawa wawili wakiwa kwenye kituo cha mapumziko ambapo mtoto wa tajiri anabugia soda aliyopewa na yule mwalimu pia tumbo linaanza tena na anaanza kuendesha
Soma Zaidi...