Mwendelezo wa hadithi ya vijana wawili
Posti hii inahusu zaidi mwendelezo wa hadithi ya vijana wawili, hapa tunaona Jackie anajibu barua ya Julius kwa kusema yafuatayo.
Barua kwa julius.
1. Kwa furaha kubwa Jackie aliandika barua ya kwa Julius akisema. hi Julius kipenda roho changu natumain kuwa haujambo na nimefurahi kuona barua Yako nasikia hata moyo unadunda kwa mapigo Fulani hivi mpaka nakosa pozi na nafurahi sana kuhamia kwangu pale kwenye desk hata nikiwa nimelala naiona kabisa sura Yako ukiwa umekaa karibu nami kwenye dawati.
2. Pia naomba msamaha kwa kujenga mahusiano n Dickson sio kwa amani hapana ila ni kwa sababu yakutafuta faraja baada ya wewe kunicha kwa hiyo nafurahi sana na kila kitu ambacho utataka nitakupa kwa sababu si unajua kwangu mimi Jack kila kitu kipo na kuhusu hotelini gharama ni za kwangu usihofu kipenzi,kwa hiyo badala ya kwenda jumamosi twende ijumaa Bada ya masomo.
3. Kwa hiyo jackie akatuma barua kwa julius, na hapo ndipo alipoanza kujiingza kwenye mahusiano tena na Juliusi na walipanga kwenda hotelini kuanzia ijumaa mpaka jumapili huko Julius alimwonyesha mapenzi ya kweli mpaka Jackie akawa anawaza julius peke yake mpaka na darasani akaacha kusoma alipenda kukaa karibu na Julius,
4. Kwa hiyo mitihani ilikuwa inakaribia na Mama yake Jackie akaja kumtembelea Jackie akaleta zawadi na walizitumia zote na Juliusi, na Mama yake na Jackie alitoa ahadi nyingi iwapo Jackie akishinda mtihani vizuri kama mtihani uliopo,kwa hiyo Julius akawa anasoma usiku mchana kazi yake ni kuhakikisha anapoteza akili za Jackie na vijana wanaendelea kumlipa Julius Hela yake kwa kumpoteza Jacki ,na hapo walibakiza wiki Moja kufanya mtihani wa kushindania zawadi za shule ila Jackie hakujiandaa hata kidogo akitumia mda mwingi kushinda na Juliusi.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 kitabu cha Simulizi 👉2 Madrasa kiganjani 👉3 Dua za Mitume na Manabii 👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉5 Bongolite - Game zone - Play free game 👉6 Kitabu cha Afya
Post zinazofanana:
USALITI (sehemu ya tatu)
Post hii ni mwendelzo wa hadithi ya ukweli ambayo imetokea siku sio nyingi jinsi Moses alipoacha kumwoa Rhoda naye akachanganyikiwa takribani miaka kama mitano hivi.
Soma Zaidi...SAFARI YA MUUJIZA
Post hii inahusu hadithi moja iliyotokea Kwa mama mmoja mwenye familia ya watoto watano.ambapo mama aliolewa na mwanaume mwenye maambukizi ya virus vya ukimwi na kupata watoto bila maambukizi kusambaa kutoka Kwa baba kwenda Kwa mama.
Soma Zaidi...Mtoto wa Tajiri na maskini ( sehemu ya kwanza)
Post hii inahusu hadithi fupi tu kuhusu mtoto wa tajiri na maskini, palikuwepo na watoto wawili mmoja akiwa mtoto wa tajiri na mwingine wa maskini.
Soma Zaidi...NIMLAUMU NANI ( sehemu ya tano)
Post hii inahusu mwendelezo wa hadithi ya Nimlaumu nani ambapo juma anapanga na madaktari wanaopima DNA ili kuweza kutambua kwamba mtu mimba ni ya kwake na sio ya Frank kwa hiyo tuendelee kusikiliza mpaka tutakapoona mimba itakuwa ya Frank au juma.
Soma Zaidi...Mwendelezo wa hadithi ya Mama mchoyo na mwehu
Posti hii inahusu zaidi mwendelezo wa hadithi ya Mama mchoyo na mwehu, kwa sababu mwehu alikuwa mkarimu alichukua ule mkate akawapstia watoto wa yule mama wakiwa wanatoka shule kwa hiyo tutaona kilichotokea kwa wale watoto.
Soma Zaidi...Mafundisho kutokana na hadithi ya Binti mfalme
Posti hii inahusu zaidi mafundisho ambayo tunayapata kutoka kwa binti mfalme, tunapotoa hadithi sio kusoma na kufurahia tu ila kuna mafundisho muhimu katika maisha yetu.
Soma Zaidi...