Post hii inahusu zaidi hadithi ya vijana wawili ambapo mitihani inaisha na wanaanza kuhukumiwa mmoja baada ya mwingine.
1. Baada ya mtihani kuisha wazazi na vijana wote walikusanyika kwenye ofisi ya nidhamu pamoja na wazazi wao , ila Jackie akili yake yote ilikuwa kwa julius na katika mkutano waliwatenga wasichana kwa wavulana ila Jackie alienda kwa wavulana akiwa ameweka mkono juu ya julius ila julius alijitahidi kuutoa mkono mama alipoona hayo alihisu hasira na kumrikia Jackie na kumpiga makofi kama mawili hivi na baba yake akamshika na kusudi mama yake hasilete Fujo zaidi.
2. Ndipo mwalimu aliyemkuta Jackie ananuka pombe kwenye chumba cha mtihani akamsimulia kila kitu kilivyoendelea ndivyo marafiki zake wakaulizwa kisiri kinachoendelea ndipo wakamsimulia maisha ya Jackie shuleni na yalikuwa yanasikitisha kwa wazazi , na pia Julius alitajwa sana , kwa sababu julius alikuwa mwoga baada ya kuchapwa vibao na baba yake naye akamsimulia jinsi alivyotumwa na hatimaye wale vijana waliokuwa wanamlipa julius wakaitwa nao wakapewa makofi Kama mawili hivi kila mtu alikuwa anashusha story Kama ilivyokuwa.
3. Baadae na wazazi wa wale vijana waliomtuma julius waliitwa nao pia na adhabu ya suspension ilitolewa kwa wote wanafunzi isipokuwa Julius na Jackie walifukuzwa shule kabisa , lengo lilikuwa ni kuwatenganisha, basi wazazi wakaamua kuwatafutia shule nyingine,kwa sababu ela kwao na Jackie zilikuwepo baba yake akampleka Ukraine kusoma ila julius Akabaki nchini, kwa sababu Jackie aliona kuwa amechezea Sana mda aliamua kusoma na kuwa mwanafunzi Bora darasani na pia julius alisoma na akaamua kiuacha mchezo.
4. Baada ya masomo yao ya kidato cha sita Jackie aliendelea kusoma udaktari Ukraine na Juliusi alisoma uinginia ,Basi kila mtu kwa anga zake wakasoma kila mtu akapata kazi, ILa mana yake na Jackie alimchukia mno Julius kwa sababu ndiye aliyekuwa chanzo cha kuleta Fujo kwenye maisha ya mwanae, kwa hiyo Jackie akakabidhiwa kuwa daktari mkuu wa hospital na akawa anafanya kazi zake vizuri na kwa umakini na Julius akawa engineering mzuri Sana.
5. Na siku Moja Jackie alipewa ela za kujenga hospital yenye viwango na selikali na akapewa engineer mkuu wa selikali aliyeitwa engineer julius kusudi waje wapange kuhusu ujenzi wa hospital na wakapeana simu yaani engineer na daktari ila walikuwa hawajuani ila waliongea kwenye simu na kupanga siku ya kukutana kwa ajili ya kupanga jinsi ya kujenga hospital na siku ikafika.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowHii ni siri kubwa kuhusu wanawake. Hapa utajifunza jinsi ya kumfanya mwanamke asikuache.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi mwendelezo wa hadithi ya Binti mfalme sehemu ya sehemu ya sita.sehemu hii inaonyesha jinsi bibi alivyo ndumila kuwili na hapendi kuonekana mbaya.
Soma Zaidi...Post hii inahusu hadithi Moja ya kijana maaalufu aliyeitwa Frank, ni kijana aliyekuwa mwaminifu ila amekumbana na wasichana wengi wanamasaliti ukizingatia Frank alikuwa kijana mstaalabu na mwaminifu sana ila anafikia kufanya maamuzi magumu kufuatana na ku
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi hasara za wivu na kutokuwa wazi sehemu ya pili, sehemu hii inahusu mama Lisa anaenda kwa mama lina ili kuuliza kinachoendelea kwa mtoto wake , kwa hiyo tuona atapata jibu gani.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi jinsi ya watu walivyoishi katika kijiji cha burugo .tunajuwa hadithi ni sehemu mojawapo ya kubirudisha na kujifunza kitu flani kutoka kwenye jamii .
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi vijana wawili ambao ni msichana na mvulana walioingia kwenye mahusiano wakiwa sekondari na wakahaidiana kuoana ila kwa sababu mbalimbali walizokutana nazo kwenye safari yao ya mahusiano mmoja akamsaliti mwingine na kusababisha kupo
Soma Zaidi...Nani kama mama? Hadithi hii itakufunza umuhimu wa kuwa muwazi kuhusu familia yako.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi mtoto wa tajiri na mtoto wa maskini wakipanda gari kuelekea shule kuanza maisha mapya.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mwendelezo wa hadithi ya Binti mfalme sehemu ya tano, baada ya bibi kuachana na mke mdogo wa mfalme alienda kwa kijana wa kiume wa mfalme na kuona udhaifu wake kwamba anapenda sana mali.
Soma Zaidi...