Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)
- Ajiepushe na kauli na vitendo viovu na vichafu.
- Azidishe kusoma Qur’an na kusimamisha swala za faradh kwa jamaa na kusimamisha swala za sunnah kwa wingi.
- Kuomba msamaha na kutubu kikweli kweli kwa Allah (s.w).
- Kujitahidi kujipamba na kila tabia njema na kuamiliana kwa wema na wanahajj wengine.
- Ajitahidi kujumuika na wanahajj kutoka sehemu mbali mbali Ulimwenguni.
- Ajiepushe na matamanio wanapokuwa katika mchanganyiko wa wanaume na wanawake katika Hijja
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Mwezi ukionekana sehemu moja, Waislamu wote ulimwenguni watalazimika kufunga?
Soma Zaidi...Serikali ina nafasi kubwa katika kuzuia dhulma na kufanya uchumibuwe huru kuyokana na dhulma.
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kukufundisha kuhusu mambo ya haramu kwa mwenye hadathi kubwa
Soma Zaidi...