image

Mzio (aleji) na Dalili zake

Posti hii inahusu zaidi mzio na Dalili zake ni Dalili ambazo ujitokeza kwa mtu mwenye mzio, kuna wakati watu wengine ushindwa kutambua kuwa ni mzio au la, lakini leo tunaenda kujua Dalili za mzio kama ifuatavyo.

Mzio (aleji)  na Dalili zake.

Mzio usababishwa na vitu mbalimbali kama vile vumbi, kuumwa na wadudu, baadhi ya vyakula, kemikali au madawa fulani, mzio utokea kwa mtu mmoja na mwingine na kila mtu ana mzio wake kwa mfano mtu mmoja anaweza kuwa na Mzio wa vumbi mwingine hana kwa hiyo utofautiana kutoka kwa mtu mmoja na mwingine, na dawa za kutuliza mzio zipo ambazo ni citrizen, pilitin na anti histamine na Mzio ukizidi mwone daktari kwa msaada zaidi.

 

1. Dalili mojawapo ambayo ilinyesha kubwa ni mzio ni wekundu usoni, mwasho, au upele hayo yanaweza kutokea kwa mtu kwa sababu pengine ametumia dawa fulani ambayo haipatani na mwili wake au chakula fulani kama vile nyama,au amesikia harufu fulani ya maua hali hii umfanya kubwa na vitu vilivyotakiwa hapo juu.

 

2. Dalili nyingine ni kama vile kuvimba midomo hasa hasa hali hii utokea kwa sababu ya vyakula na kuvimba kinywa na koo, kumeza kwa shida ukiona mgonjwa wako ana dalili kama hizi moja kwa moja anapaswa kupata matibabu yanayofaa ili kuepuka kusababisha madhara makubwa zaidi.

 

3. Kupumua kwa shida 

Aina hii ya mzio uwakumba sana watu mzio wa vumbi, harufu ya maua na vitu vingine ambavyo vinahusiana na kunusa, iwapo mtu amepatwa na Mzio huu uwa na Dalili kama za Asthma  kwa hiyo ni vizuri kumpeleka hospitalini ili kuweza kuepuka madhara zaidi, hasa kama ni kwa mtoto hali inaweza kuwa mbaya zaidi kwa hiyo matibabu yanapaswa kutolewa mapema iwezekanavyo.

 

4. Kuvimba mikono na miguu.

Hii ni Dalili mojawapo ya mzio ambao utokea kwa mtu inawezekana ikawa ni kwa sababu ya dawa au kwa sababu ya vitu vingine kama vile vumbi kwa hiyo kama mgonjwa yuko hospitalini anaumwa dalili hii ukajitokeza anapaswa kufuata ushauri wa daktari au abadilishe dawa au mazingira.

 

5. Kichefuchefu au maumivu ya tumbo.

Mgonjwa pengine anahisi kichefuchefu kwa sababu pengine mzio unakuwa imeingilia mmeng'enyo wa chakula, kwa hiyo pengine tumbo linaweza kuuma kichefuchefu na hata kutapika kwa mgonjwa kwa hiyo tunapaswa kujua Dalili hizi na kuzifanyia kazi.





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1940


Sponsored links
πŸ‘‰1 Madrasa kiganjani     πŸ‘‰2 Kitabu cha Afya     πŸ‘‰3 kitabu cha Simulizi     πŸ‘‰4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-

Yajue matatizo yanayosababisha Ugonjwa wa akili.
Madhara ya ugonjwa wa akili yanaweza kuwa ya muda au ya kudumu. Unaweza pia kuwa na zaidi ya ugonjwa mmoja wa afya ya akili kwa wakati mmoja. Kwa mfano, unaweza kuwa na ulegevu na ugonjwa wa matumizi ya madawa ya kulevya. Soma Zaidi...

Fangasi wanaojulikana kama Blastomyces
Fangasi wanaojulikana kama Blastomyces, hawa ni fangasi wanaosababisha maradhi yajulikanayo kama blastomycosis. Soma Zaidi...

Matibabu kwa mtu mwenye kiungulia
Posti hii inahusu zaidi matibabu kwa mtu mwenye kiungulia,ni tiba ambayo mtu anapaswa kutumia kama ana tatizo la kiungulia Soma Zaidi...

Vidonda vya tumbo husababishwa na nini
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu visababishi vya vidonda vya tumbo Soma Zaidi...

Ujue ugonjwa wa tauni
Posti hii inahusu zaidi ugonjwa wa tauni ambao kwa kitaalamu huitwa plague ni Ugonjwa unaosababishwa na wadudu ambao huitwa kitaalamu huitwa yersinia pestis ambao ukaa ndani ya panya. Soma Zaidi...

Maambukizi ya Kawaida ya zinaa (Chlamydia)
maambukizi ya kawaida ya zinaa (STI), Hujulikana Kama Chlamydia. Huenda usijue una Ugonjwa huu kwa sababu watu wengi hawapati dalili au ishara, kama vile maumivu ya sehemu za siri na kutokwa na uchafu kutoka kwa uke au uume. Maambukizi haya huathiri Soma Zaidi...

Dalili za mawe kwenye kibofu Cha mkono
Mawe ya kibofu ni mkusanyiko mgumu wa madini kwenye kibofu chako. Mawe kwenye kibofu hukua wakati mkojo kwenye kibofu chako unapokolea, na kusababisha madini katika mkojo wako kung'aa. Soma Zaidi...

MATIBABU YA FANGASI
Karibia fangasi wote hawa wanatibika bila ya ugumu wowote maka mgonjwa atakamilisha dozi. Soma Zaidi...

Dalilili za polio
Polio ni ugonjwa wa virusi unaoambukiza ambao katika hali mbaya zaidi husababisha kupooza, kupumua kwa shida na wakati mwingine kifo. Soma Zaidi...

Fangasi wanaojulikana kama Blastomyces
Fangasi wanaojulikana kama Blastomyces, hawa ni fangasi wanaosababisha maradhi yajulikanayo kama blastomycosis. Soma Zaidi...

Ugonjwa wa kiseyeye na dalili zake
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu ugonjwa wa kiseyeye na dalili zake Soma Zaidi...

Ugonjwa wa Maambukizi ya mfumo wa mkojo kwa watoto chini ya miaka mitano (UTI)
posti hii inazungumzia kuhusiana na Maambukizi kwenye mfumo wa mkojo ambapo kitaalamu hujulikana Kama UTI(Urinary Tract Infection (UTI)) hufafanuliwa kuwa ni maambukizo ya mfumo wa uzazi ambayo yanahusisha urethra. UTI ni maambukizi ya mfumo wa mkojo, m Soma Zaidi...