Nafasi ya Elimu katika uislamu

Je ni ipi nafasi ya Elimukatika dini ya uislamu?

Swali: 

Nivipi nafasi ya elikuvkatika uislamu? 

 

Jibu: 

1. Elimu ndio takrima ya kwanza aliyopewa mwanaadamu na Mola wake kama nyenzo pekee itakayomuwezesha kumjua Mola wake na kumuabudu vilivyo.

“Na (Mwenyezi Mungu) akamfundisha Adam majina ya (fani za) vitu vyote” (2:31) na pia rejea (2:38).

 

2. Elimu ni amri ya kwanza kwa mwanaadamu kuitafuta kama alivyoamrishwa kusoma Mtume (s.a.w).

“Soma kwa jina la Mola wako aliyeumba……..” (96:1-5).Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2021-11-03     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1085

Post zifazofanana:-