NAMNA MADONDA KOO YANAVYOTOKEA


image


Posti hii inahusu namna madonda koo yanavyotokea, ni jinsi na namna Magonjwa haya au Maambukizi yanavyotokea na kuweza kusababisha madhara kwa watu.


Jinsi madonda koo yanavyotokea 

1.Kwanza kabisa tunapaswa kujua kuwa madonda koo ambayo kwa kitaalamu huitwa tonsils, Magonjwa haya usababishwa na bakteria na virusi, kwa hiyo ikiwa Maambukizi kwenye koo yamesababishwa na virusi ni vigumu kupona mpaka upasuaji uwepo ila kama yanasababishwa na bakteria tunaweza kutumia antibiotics na Maambukizi haya yakaisha.

 

2.Kuna Dalili zinazoonyesha kwamba Maambukizi yamesababishwa na virusi ambapo mgonjwa huwa na kikohozi, macho kuuma na mafua yanakuwa yanatiririka na kama Maambukizi yamesababishwa na bakteria Mgonjwa anakuwa na homa anavimba kwenye sehemu ya tonsils, na maumivu ya kichwa kwa hiyo tunapaswa kutofautisha Maambukizi ya bakteria na virus.

 

3.Tunajua kuwa kazi ya tonsils ni kuchuja wadudu na takataka zote ili zisiweze kuingia katika mfumo wa hewa, na katika takataka hizo kuna nyingine huwa zinakuja na virus au bakteria ambao ushambulia tonsils na kufanya wadudu waweze kuingia kwenye mfumo mwingine wa mwili.

 

4. Kwa hiyo tunapaswa kuchukua hatua ikiwa tutapata Maambukizi haya kwa sababu sababu yasipotibiwa mapema yanaweza kuleta madhara makubwa kama vile kushambuliwa sehemu nyingine za mwili kama vile kibofu cha mkojo, ini, moyo , mambukizi kwenye mfumo wa hewa, pia mtu anaweza kupata Nimonia Magonjwa yote kama hayo



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    2 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    3 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    4 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    5 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    6 Mafunzo ya php    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Sababu za maumivu ya mwili.
Posti hii inahusu zaidi sababu ya kuwepo kwa maumivu ya mwili kwa sababu tunaweza kuhisi maumivu kwenye sehemu za mwili kwa sababu mbalimbali kama tutakavyoona hapo chini Soma Zaidi...

image Maambukizi ya Kawaida ya zinaa (Chlamydia)
maambukizi ya kawaida ya zinaa (STI), Hujulikana Kama Chlamydia. Huenda usijue una Ugonjwa huu kwa sababu watu wengi hawapati dalili au ishara, kama vile maumivu ya sehemu za siri na kutokwa na uchafu kutoka kwa uke au uume. Maambukizi haya huathiri wanaume na wanawake na hutokea katika makundi yote ya umri, ingawa imeenea zaidi kati ya wanawake vijana. si vigumu kutibu mara tu unapojua kuwa unayo. Hata hivyo, ikiwa haitatibiwa, inaweza kusababisha matatizo makubwa zaidi ya afya Soma Zaidi...

image Dalili za mnungu'nguniko wa moyo
Manung'uniko ya moyo ni sauti wakati wa mzunguko wa mapigo ya moyo wako kama vile kutetemeka inayotolewa na damu yenye msukosuko ndani au karibu na moyo wako. Soma Zaidi...

image Dalili za mimba changa
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za mimba changa Soma Zaidi...

image Ugonjwa wa kisonono, sababu zake nanjia za kujilinda.
Kisonono husababishwa na bakteria. Bakteria ya kisonono mara nyingi hupitishwa kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine wakati wa kujamiiana, ikiwa ni pamoja na kujamiiana kwa mdomo, mkundu au uke. Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za kula karanga
Somo hili linakwenda kukuletea faida za kiafya za kula karanga Soma Zaidi...

image Imani potofu juu ya ugonjwa wa Ukimwi.
Posti hii inahusu zaidi imani potofu juu ya ugonjwa wa Ukimwi,ni Imani walizonazo watu wengi kuhusiana na ugonjwa wa Ukimwi. Soma Zaidi...

image Uchunguzi wa kuharisha damu na tiba yake
Posti hii inahusu zaidi uchunguzi wa kuharisha damu na Tiba yake, ni Ugonjwa ambao unaowashambulia sana watoto hasa wenye chini ya umri wa miaka mitano, kwa hiyo huoaugonjwa tunaweza kuutambua na kutibu kwa njia zifuatazo. Soma Zaidi...

image Huduma kwa wenye Maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo
Posti hii inahusu zaidi namna ya kuwasaidia Watu wale ambao wana Maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo. Soma Zaidi...

image Maji
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za maji mwilini Soma Zaidi...