Posti hii inahusu zaidi namna ya ugonjwa wa vipele kwenye midomo na sehemu za siri unavyoweza kuenea kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.
Namna ugonjwa wa herpes simplex au vipele kwenye midomo na sehemu za siri unavyoweza kuenea kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.
1.Ugonjwa huu wa herpes simplex unaweza kusambaa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine kwa njia ya kujamiiana pasipokutumia kondomu kwa hiyo wakati wa kujamiiana ni lazima kutumia kinga ili kuzuia kuenea kwa ugonjwa huu ambao hauna tiba.
2.vile vile ugonjwa huu unaweza kusambaa kwa kupigana busu kwa wapenzi na wale wenye utamaduni wa kufanya hivyo, kwa hiyo tunapaswa kuwa makini katika kupigana busu kwa kuangalia kwanza kama kuna dalili na wagonjwa wanapaswa kuwa wazi kama wana ugonjwa huu.
3.Pia Ugonjwa huu unasambaa kwa kutumia vifaa ambavyo vimetumiwa na mtu mwenye Ugonjwa huu ikiwa virus wamebaki kwa hiyo tunapaswa kuosha vizuri vyombo vyetu kama tunafikiria au tunajua kuna mtu ana matatizo hayo na ametumia vyombo hivyo, kwa hiyo hatupaswi kuwatenga wagonjwa wenye matatizo ya aina hii ila tuwahudumie na kuwa makini.
4.Ugonjwa huu unasambaa kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto wakati wa kujifungua kwa hiyo mama anapaswa kujifungulia hospitalini ili kuepuka Maambukizi kutoka kwa Mama kwenda kwa mtoto na pia akina Mama wakati wa ujauzito wanapaswa kupima afya zao ili kuepukana kuwaambukiza watoto wao.
5.Baada ya kujua njia zinazotumika kuambukiza ugonjwa huu ni lazima kubwa makini na kujikinga ili kuepuka kusambaza ugonjwa huu kwa sababu unasababishwa na virusi kwa hiyo kupona kwake na majaliwa ya Mwenyezi Mungu.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowPost hii inahusu zaidi ajali ya jicho na visababishi vyake, ajali ya jicho ni pale jicho linavyoingiliwa na uchafu na vitu vingine ambavyo havistahili kuwa kwenye jicho
Soma Zaidi...Post inaenda kuzungumzia kuhusiana na upungufu wa damu mwilini ambapo tutaona SABABU na dalili zake lakin upungufu wa damu mwilini hujulikana Kama ANEMIA.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kukabiliana na presha ya kupanda
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi faida za maji ya uvuguvugu, hasa hasa maji haya ni vizuri kabisa kuyatumia hasa wakati wa asubuhi na pia wakati tumbo likiwa halina kitu, kwa hiyo zifuatazo ni faida za maji ya uvuguvugu.
Soma Zaidi...Posti huu inahusu zaidi visababishi mbalimbali vya magonjwa, tunajua wazi kuwa ugonjwa ni hali ya kutokuwa kawaida kwa ogani mbalimbali kwenye mwili na kusababisha mwili kushindwa kufanya kazi zake vizuri.
Soma Zaidi...Degedege ni ugonjwa unaoshambulia sana watoto chini ya miaka mitano,na uwaletea matatizo mengi pamoja na kuwepo kwa ulemavu na vifo vingi vinavyosababishwa na ugonjwa huu.
Soma Zaidi...Kushambuliwa kwa moyo na kupumua ni kitendo Cha moyo kusimama ghafla, Hali hii unapaswa kutolewa huduma ya kwanza Ili moyo ufanye kazi tena,
Soma Zaidi...Post hii inahusu huduma ya kwanza kwa mtu aliyeingiwa na uchafu au kitu chochote sikioni. Sikio ni mojawapo ya milango ya fahamu ambapo hutumika kusikia, Kuna wakati vitu uingia ndani yake na kuleta madhara
Soma Zaidi...Kama mtu anatokwa na damu za pua, basi juwa kuwa anahitaji huduma ya kwanza.
Soma Zaidi...