Posti hii inahusu zaidi namna ya kuandaa mbegu za maparachichi ili kutumika kama dawa,kwa sababu ya kuwepo kwa tiba kutokana na mbegu hii ni vizuri kujua maandalizi.
1. Chukua mbegu ya parachichi, osha vizuri na hakikisha kwamba imetakata.
2. Twanga kwenye kinu au kuna kwenye kikunio na hakikisha kuwa imekuwa kama unga.
3. Kausha kwenye jua na hakikisha imekauka na wengine ukausha kwenye kivuli.
4. Chukua unga huo na usage tena na hakikisha unakuwa kama unga.
5.chukua huo unga weka kwenye kopo au sehemu yoyote unayoona ni nzuri kwa kutunzia.
6. Chukua unga huo uwe unaweka kwenye chai na kunywa kila siku na hauozi hata siku moja.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Mbegu za papai ni katika baadhi ya mbegu ambazo hutumika kama dawa, na tunda lake ni katika matunda yenyevirutubisho vingi sana. Mbegu za papai zinatumka kwa matumizi mengi sana kiafya. Je ungependa kujuwa faida za papai na jinsi ya kuandaa mbegu zake kam
Soma Zaidi...Sty ni uvimbe mwekundu, chungu karibu na ukingo wa kope ambalo linaweza kuonekana kama jipu au chunusi. Sties mara nyingi hujazwa na usaha. Mtindo kawaida huunda nje ya kope lako. Lakini wakati mwingine inaweza kuunda kwenye sehemu ya ndani ya kope lak
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi watu wa kundi O na vyakula ambavyo wanapaswa kula na tabia za watu hawa wana vyakula ambavyo wanapaswa kula na vingine hawapaswi kama tutakavyoona hapo baadaye.
Soma Zaidi...Tijufunze zaidi kuhusu saratani ya koo. Vihatarishi vyake,dalili zake,tiba na lishe kwa mgonjwa mwenye saratani ya koo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi faida za mbegu za maparachichi, kwa kawaida tunajua wazi faida za maparachichi pamoja na faida za maparachichi kuna faida kubwa katika mbegu zake kama tutakavyoona
Soma Zaidi...ΓΒ Bakteria aina ya Salmonella huishi ndani ya matumbo ya watu, wanyama na ndege.ΓΒ Watu wengi wameambukizwa salmonella kwa kula vyakula vilivyochafuliwa na kinyesi.ΓΒ
Soma Zaidi...Nini malengo ya elimu katika uislamu(EDK form 1, malengo ya elimu katika uislamu
Soma Zaidi...