NAMNA YA KUEPUKA UGONJWA WA NGIRI.


image


Posti hii inahusu zaidi namna au njia za kuepuka na Ugonjwa huu wa ngiri ambao uleta madhara kwa watoto, vijana na watu wazima, kwa hiyo ili tuweze janga hili ni lazima tufanye yafuatayo.


Njia za kuepuka Ugonjwa wa ngiri.

1. Kwaza kabisa tunapaswa kutumia vyakula vyenye nyuzi nyuzi kama vile machungwa, maembe na aina mbalimbali za matunda kwa kufanya hivyo tunaweza kuufanya mwili ujengeke na hatimaye kuepuka na janga hili la ugonjwa wa ngiri.

 

2.Pia tunapaswa kula vyakula vyenye wingi wa protini.

Kwa kawaida tunajua kazi ya protini ni kuufanya mwili ukue vizuri na kurudisha sehemu iliyokuwa imeharibika kuwa vizuri, kwa kutumia vyakula vya hivyo kama maziwa, mahindi, karanga na mambo kama hayo usaidia mwili kuwa imara na kupunguza tatizo la ngiri.

 

3. Epuka kazi ngumu.

Ili kuepuka Ugonjwa huu wa ngiri tunapaswa kuepuka kazi ngumu ambayo Usababisha viungo vya mwili kutenguka na pia kuepuka mazoezi magumu sana nayo usababisha viungo vya mwili kuachia hali ambayo Usababisha kuwepo kwa uwazi na utumbo au nyama kukua kuelekea kwenye sehemu ya uwazi 

 

4. Kutumia virutubisho vya mwili.

Tunajua kubwa chakula bora ni dawa kwa kutumia chakula bora na chenye aina zote za virutubisho usaidia kuwepo kwa kinga ya kutosha mwilini na hatimaye mwili kujijenga wenyewe na kupungua kwa Ugonjwa huu wa ngiri.

 

5. Tunapaswa kujenga Tabia ya kufanya uchunguzi.

Kwa kufanya uchunguzi tunaweza kupunguza matatizo kuwa makubwa zaidi,kwa kufanya hivyo hata tatizo liligunduliwa ni rahisi kutibiwa.

 

 



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    2 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    3 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    4 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    5 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    6 Madrasa kiganjani    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Maambukizi kwenye Tumbo na utumbo mdogo.
Posti hii inahusu Maambukizi kwenye tumbo na kwenye utumbo mdogo,ni Maambukizi ambayo uwa kwenye tumbo na utumbo mdogo. Soma Zaidi...

image Dalili na madhara ya Kiungulia
post hii inaelezea kuhusiana na dalili au ishara na madhara ya Kiungulia ni maumivu ya moto kwenye kifua chako, nyuma ya mfupa wako wa kifua. Maumivu huwa mabaya zaidi wakati wa kulala au kuinama Soma Zaidi...

image Maumivu ya tumbo baada ya tendo la ndoa
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za maumivu ya tumbo baada ya tendo la ndoa Soma Zaidi...

image Kupambana na kisukari
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kupambana na kisukari Soma Zaidi...

image Dawa ya chango na maumivu ya hedhi
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu dawa ya chango na maumivu ya hedhi Soma Zaidi...

image Namna ya kuzuia maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo
Posti hii inahusu zaidi namna ya kuzuia maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo, hizi ni njia ambazo zinapaswa kufuatwa ili kutokomeza kabisa maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo. Soma Zaidi...

image Njia za kuzuia upungufu wa damu kwa wajawazito
Posti hii inahusu zaidi njia za kuzuia upungufu wa damu kwa wajawazito, ni mojawapo ya njia ambazo utumiwa na wahudumu wa afya ili kuweza kuzuia upungufu wa damu kwa wajawazito. Soma Zaidi...

image Dawa za kutibu kiungulia
Somo hili linakwenda kukueleza baadhi ya dawa za kutibu kiungulia Soma Zaidi...

image Dalili za anemia ya upungufu wa vitamin.
Anemia ya upungufu wa vitamini ni ukosefu wa seli nyekundu za damu zenye afya unaosababishwa na kiasi kidogo cha vitamini fulani kuliko kawaida. Soma Zaidi...

image Malengo ya kuwahudumia watoto chini ya miaka mitano
Posti hii inahusu malengo ya kuwahudumia watoto chini ya miaka mitano, huduma hii ilianzishwa na WHO na UNICEF mwaka 1990 ili kuweza kuzuia Magonjwa na kuwapatia watoto lishe pamoja na hayo walikuwa na malengo yafuatayo. Soma Zaidi...