Namna ya kufanya ngozi kuwa laini

Namna ya kufanya ngozi kuwa laini

Posti hii inahusu zaidi njia au namna ya kufanya ili ngozi iweze kuwa laini bila kuwa na make up yoyote.

Namna ya kufanya ngozi yako kuwa laini.

1. Ni njia ambazo utumiwa na watu mbalimbali ili kuhakikisha kubwa ngozi inakuwa laini kwa matumizi mbalimbali ya vyakula na mazoezi kwa kuzingatia yafuatayo.

 

2. Punguza matumizi ya chumvi.

Kwa kawaida chumvi usaidia kufanya vitu mbalimbali kwenye mwili ila na yenyewe ikiwa nyingi usababisha mwili kutokuwa na hali ya kuvutia.

 

2. Usichanganye maziwa  ya wanyama na matunda.

Kwa sababu kazi ya maziwa huwa ni kufyonza kwa hiyo ukichanganya maziwa na matunda kwa kawaida maziwa yatafyonza vitamini muhimu ambavyo usababisha mwili kunawili.

 

3. Epuka matumizi ya mara kwa mara ya make up nzito usababisha mwili kuwa na makunyanzi.

 

4. Fanya mazoezi mepesi na kunywa maji kwa wingi kwa sababu maji usaidia kurainisha mwili.

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Jifunze Main: Post File: Download PDF Views: 2428

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉4 kitabu cha Simulizi     👉5 Kitau cha Fiqh     👉6 Bongolite - Game zone - Play free game    

Post zinazofanana:

darasa la lishe

Jifunze mengi kuhusu afya na lishe, ujuwe utaratibu wa lishe

Soma Zaidi...
Kujiepusha na Vishawishi vya Zinaa

Kujiepusha na Vishawishi vya ZinaaKatika macho ya sheria kitendo cha zinaa kinahesabiwa pale wanapokutana kimwili mwanamume na mwanamke nje ya ndoa.

Soma Zaidi...
Jinsi ya kuhesabu siku za hatari za kupata mimba.

Kujua siku zako za hatari (siku ambazo una uwezekano mkubwa wa kupata mimba) ni njia muhimu sana kwa wanandoa wanaopanga kupata mtoto. Siku hizi hutegemea mchakato wa kupevuka kwa yai (ovulation), ambapo yai huachiliwa kutoka kwenye ovari ili kurutubishwa. Makala hii inaelezea mbinu rahisi ya kalenda unayoweza kutumia.

Soma Zaidi...
MAWAKALA WA MARADHI

Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote

Soma Zaidi...