Namna ya kufanya usafi wa sikio

Namna ya kufanya usafi wa sikio

Post hii inahusu zaidi namna ya kufanya usafi wa sikio, sikio ni mojawapo ya ogani ambayo usaidia kusikia,kwa hiyo sikio linapaswa kusafishwa kwa uangalifu kama tutakavyoona hapo chini.

Namna ya kutunza sikio.

1.Kwanza kabisa tunapaswa kujua kuwa sikio limegawanyika katika sehemu kuu tatu ambapo kuna sehemu ya nje, kuna sehemu ya katikati na sehemu ya ndani kwa hiyo kila sehemu ufanya kazi yake na kila sehemu upaswa kufanyiwa usafi maalumu.

 

2. Sehemu ya nje ndiyo ambayo ukusanya mawimbi ya sauti kwa hiyo tunapaswa kusafisha sehemu hiyo kwa kutumia kitambaa na maji safi na kuhakikisha hiyo sehemu haina vidonda hata kimoja kwa hiyo kila siku tunapopooga tunapaswa kufanyia sehemu hii usafi wa kutosha.

 

3.Sehemu nyingine ni sehemu ya katikati hii ni sehemu ambayo upokea mawimbi ya sauti na kuyabadilisha yakawa kwenye  sauti fulani ambayo baadaye usafilishwa , sehemu hii uwa na wax ambazo uzaliwa kwenye sikio kwa hiyo uweza kutolewa na Pamba na tuepuke kuweka vitu vyenye ncha kali kwenye sehemu hii.

 

4.Sehemu ya tatu ya sikio uitwao sehemu ya ndani ambayo kazi yake ni kusafilisha mawimbi ya sauti na kuyapeleka ili yaweze kutafsiriwa na mtu uweza kusikia na kitendo hiki utumia mda mfupi sana. Na katika sehemu hii huwa kuna uchafu kwa hiyo tunaangalia kwa kutumia tochi na uchafu uligundulika utolewa kwa kifaa maalum cha kusafishia sikio kwa hiyo hatupaswi kutumia vi miti kutolea uchafu sehemu hii mpaka kifaa maalum.

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: magonjwa Main: Post File: Download PDF Views: 3194

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
πŸ‘‰1 web hosting     πŸ‘‰2 kitabu cha Simulizi     πŸ‘‰3 ai web app     πŸ‘‰4 Simulizi za Hadithi Audio     πŸ‘‰5 Dua za Mitume na Manabii     πŸ‘‰6 Madrasa kiganjani    

Post zinazofanana:

Dalili za UKIMWI kwa Vijana wa Kiume

​Posti hii inatoa mwongozo wa kitaalamu kuhusu dalili zinazoweza kujitokeza kwa kijana wa kiume mwenye maambukizi ya virusi vya UKIMWI (VVU). Lengo ni kuondoa unyanyapaa na kuhimiza umuhimu wa kupima na kuanza matibabu mapema.

Soma Zaidi...
Umuhimu wa kliniki na vipimo kwa wajawazito.

Ujauzito ni kipindi cha mabadiliko makubwa ya kimwili, kihisia, na kisaikolojia. Huduma za kliniki kwa wajawazito (Antenatal Care - ANC) ni nguzo muhimu inayohakikisha mama anakuwa na afya njema na mtoto anazaliwa akiwa salama. Makala hii inaangazia kwa nini kila mjamzito anapaswa kuhudhuria kliniki na umuhimu wa vipimo mbalimbali vinavyofanyika katika kipindi hicho.

Soma Zaidi...
Yajue mashambulizi ya bacteria kwenye Ngozi (cellulitis)

Mashambulizi ya bacteria kwenye Ngozi hujitokeza sehemu yenye jeraha pia huonyesha wekundu wenye upele,Uvimbe na malengelenge.

Soma Zaidi...
je maambukizi ya virus vya ukimwi yataonekana kwenye kupimo baada ya siku ngap??

Ni muda gani nitaanza kuona dalili za HIV na kilimo kitaonyesha kuwa nimeathirika?

Soma Zaidi...
Ugonjwa wa mfumo wa kinga ya mwili inavyoshambulia ini.

Ugonjwa huu hupelekea kuvimba kwenye ini yako ambayo hutokea wakati mfumo wa kinga ya mwili wako unaposhambulia ini lako.

Soma Zaidi...