Post hii inahusu zaidi njia za kumgundua mgonjwa wa kaswende, njia hizi utumika baada ya kuongea na mgonjwa kuhusu maisha yake hasa kujamiiana na watu mbalimbali.
1. Kwanza kabisa tunaangalia dalili za mgonjwa alizonazo na pia kuongea naye kuhusu wanawake alionao kama ni mwanamme na wanaume alionao kama ni mwanamke hapo tunaweza kuoanisha dalili na history.
2. Pia kupima damu.
Kwatika kupima damu tunaweza kugundua bakteria wanaosababisha kaswende kwenye damu na kuweza kuanzisha matibabu kwa waathirika.
3. Kupima maji maji.
Pia kuna mbinu nyingine ya kupima majimaji hasa hasa kwenye hatua ya kwanza na ya pili kwa kufanya hivyo chancres wadudu wanaoeneza kaswende uonekane kwenye maji maji.
4. Kupiymaji ya kwenye uti wa mgongo ambao kwa kitaalamu huitwa cerebral spinal fluid, kwenye maji maji hayo na penyewe chancres upatikana. Kwa sababu wadudu hawa usamambaa mwilini kwa watoa huduma za afya wawe makini ili kuepuka kuambukizwa.
Je! umeipenda hii post?
Ndio Hapana Save post
Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: magonjwa Main: Post File: Download PDF Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 916
Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya
👉2 Kitau cha Fiqh
👉3 kitabu cha Simulizi
👉4 Simulizi za Hadithi Audio
👉5 Madrasa kiganjani
👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
Maambukizi ya H.pylori (Vidonda vya tumbo)
Maambukizi ya H. pylori hutokea wakati aina ya bakteria inayoitwa Helicobacter pylori (H. pylori) inapoambukiza tumbo lako. Hii kawaida hutokea wakati wa utoto. Sababu ya kawaida ya Vidonda vya tumbo, maambukizi ya H. pylori yanaweza kuwa katika za Soma Zaidi...
Dalili za ugonjwa wa Bawasili
Posti hii inahusu zaidi dalili za ugonjwa wa Bawasili, ni Dalili ambazo ujitokeza kwa mgonjwa ambaye ana ugonjwa wa Bawasili. Soma Zaidi...
Mzio (aleji) na Dalili zake
Posti hii inahusu zaidi mzio na Dalili zake ni Dalili ambazo ujitokeza kwa mtu mwenye mzio, kuna wakati watu wengine ushindwa kutambua kuwa ni mzio au la, lakini leo tunaenda kujua Dalili za mzio kama ifuatavyo. Soma Zaidi...
Nini husababisha ugonjwa wa kifua na maumivu ya kifua?
Posti hii inazungumzia sababu zinazopelekea kuumwa na kifua. Soma Zaidi...
Dalili ya pressure ya kupanda
Post ya leo inaenda kufundisha dalili na hatari za presha ya kupanda. Presha ni ugonjwa unaosababishwa na baadhi ya vitu mbalimbali.pressure hujulikana kwa jina lingine ambolo ni hypertension (pressure ya kupanda). presha hugundulika pale ambapo presha ya Soma Zaidi...
Matatizo ya mapigo ya moyo
posti hii inazungumzia kuhusiana na matatizo ya mapigo ya moyo.Mapigo ya moyo ni hisia za kuwa na moyo wa haraka, unaodunda. Mapigo ya moyo yanaweza kuchochewa na mafadhaiko, mazoezi, dawa au, mara chache, hali ya kiafya. Ingawa mapigo ya moyo yanaweza k Soma Zaidi...
Sababu za maambukizi kwenye nephoni
Posti hii inahusu zaidi sababu za maambukizi kwenye nephroni, ni vitu vinavyosababisha mabukizi kwenye nephroni. Soma Zaidi...
Kushiriki ngono na mtu aliye na VVU na UKIMWI
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu namna ya kushiriki ngono na mtu aliye na VVU na UKIMWI Soma Zaidi...
ATHARI ZA KUTOTIBIWA VIDONDA VYA TUMBO
ATHARI ZA KUTOTIBIWA VIDONDA VYA TUMBO Kuachwa kwa vidonda vya tumbo bila kutibiwa, vinaweza kusababisha: Kutokwa na damu kwa ndani. Soma Zaidi...
Je vidonda vya tumbo husababisha maumivu mpka upande mmoja wa mgongoni !?
Ni ngumu kujuwa vidonda vya tumbo uhakika wake bila ya kupata vipimo. Unajuwa ni kwa nini, ni kwa sababu maumivu ya tumbo ni dalili ya shida nyingi za kiafya kama ujauzito, mimba, typhod, na shida kwenye unfumo wa chakula. Soma Zaidi...
Dalili za gonorrhea
Somo hili linakwenda kukuletea baadhi ya dalili za gonorrhea Soma Zaidi...
Dalili za Dengue.
Posti hii inahusu zaidi dalili za Dengue,ni Dalili ambazo huwa kwenye makundi matatu na kuwepo kwa makundi hayautegemea kuongezeka kwa tatizo kwa sababu tatizo likiongezeka bila kutibiwa na dalili uongezeka na kufikia kwenye sehemu isiyo ya kawaida kwa mg Soma Zaidi...