Namna ya kumhudumia mtu aliyeingongwa na nyoka
Posti hii inahusu njia na namna ya kumhudumia aliyeingiwa na nyoka. Nyoka ni kiumbe ambacho Kina sumu kali na mtu akifinywa na nyoka asipohudumiwa anaweza kupata ulemavu au kupoteza maisha
Zifuatazo ni njia za kumhudumia mtu as liyegongwa na nyoka.
1. Ondoa mgonjwa kwenye sehemu kuepuka kugongwa na nyoka tena.
2.hakikisha mgonjwa asitembee tembee kuepusha Hali ya kusambaza sumu kwenye mwili
3. Funga juu ya sehemu aliyeingongwa Ili sumu isisambae kwenye mwili.
4. Kama upumuaji umesimama kwa ajili ya maumivu au Hali kubadilika hakikisha unampeleka mgonjwa hospitalini haraka kuepuka madhara zaidi.
Angalisho
- usiweke kitu ambacho nicha baridi sehemu ambapo mtu amegongwa na nyoka, hasa usiweke barafu sehemu ambapo mtu amegongwa na nyoka
- usikate sehemu ambapo mtu amegongwa na nyoka .
Tujue kuwa nyoka ni hatari ,tuwe makini pale mtu akifinywa tumpeleke hospitali mara moja kabla hatujampeleka tunapaswa kunifanyia huduma ya kwanza Ili kuzuia sumu isisambae mwilini.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Kitau cha Fiqh 👉2 Dua za Mitume na Manabii 👉3 kitabu cha Simulizi 👉4 ai web app 👉5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉6 web hosting
Post zinazofanana:
Huduma ya Kwanza kwa mtu anayetokwa na damu ya pua
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu anayetokwa na damu ya pua
Soma Zaidi...Zijue sababu za chakula kushindwa kumengenywa kwenye tumbo.
Posti hii inahusu zaidi sababu mbalimbali za chakula kushindwa kumengenywa kwenye tumbo,ni sababu mbalimbali hasa za kiafya kama tutakavyoona hapo mbeleni
Soma Zaidi...Zijue kazi za Figo mwilini
Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa Figo mwilini, Figo ni ogani ambayo kazi yake ni kuchuja sumu mwilini.
Soma Zaidi...Huduma ya Kwanza kwa aliyeungua
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa aliyeungua
Soma Zaidi...Mfuno wa damu na makundi manne ya damu na asili yake nani anayepasa kutoa damu?
Posti hii inakwenda kukujuza kuhusu makundi manne ya damu, asili yake, maana ya antijeni na antibody, pia utajifunza kuhusu mfumo wa Rh. Mwisho utajifunza watu wanaopasa kutoa damu.
Soma Zaidi...