Posti hii inahusu namna ya kumsafisha mgonjwa kinywa,ni njia unazopaswa kufuata wakati unamsafisha mgonjwa kinywa hasa wale walio mahututi.
Namna ya kumsafisha mgonjwa kinywa.
1.Kwanza kabisa tunapaswa kujua kuwa kila mtu anaweza kuwa na mgonjwa kwa hiyo wagonjwa hao wanapaswa kufanyiwa usafi hasa wale walio mahututi na hawawezi kujifanyia usafi wenyewe kwa hiyo tunapaswa kufuata njia zifuatazo ili tusiweze kuleta madhara mengine kwa sababu pengine wanakuwa hawajiwezi hata kuongea hawawezi.
2. Kwanza kabisa kama mgonjwa anaweza kusikia au kuongea ujamwambia unakuja kumfanyia nini kwa mda huo kusudi aweze kujua kinachoendelea.
3.Baada ya kumwambia unaosha mikono yako na unahakikisha kubwa unamjengaea mazingira ya kuwepo nyingi wawili yaani wewe na mgonjwa au na msaidizi wako kwa kufanya hivyo mgonjwa ataweza kuwaamini na kuwa huru ili umsafishe na sio kila mtu atakayepita ajue mnafanya nini.
4. Mwekee mgonjwa mto kwa nyuma na uso wake uangalie chini ili kuhakikisha kuwa maji yanaweza kutiririka chini kwa urahisi kutoka mdomoni na hakikisha maji yasiingie kwenye mfumo wa hewa hasa kwa wagonjwa wale ambao hawajiwezi kabisa au hawawezi kuongea kabisa.
5. Weka kitambaa chini ili kuepuka kuchafua mashuka yaliyotandikwa, weka dawa ya meno kwenye maswaki, anza kumsafisha mgonjwa kwenye sehemu zote za kinywa sugua ulimi na fizi zote vizuri.
6.Suuza mdomo kwa kutumia maji safi kama mgonjwa hawezi hata kutema maji hakikisha unaruhusu maji yanamwagika kwenye beseni na ukitaka kuhakikisha kubwa maji yameisha chukua kitambaa kisafi na pangusa vizuri ili kuhakikisha kubwa maji yameisha ili yasije kuingia kwenye koo la hewa.
7.Baada ya kumaliza safisha vifaa vyote na virudishwe kwenye sehemu safi ili uweze kuvitumia tena
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Uke ni sehemu ambayo imo ndani ya mwili wa mwanamke, sehemu hii ufanya kazi mbalimbali hasa wakati wa kujamiiana, kubarehe na kujifungua kwa mama.
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kukujulisha njia za kushusha presha iliyopanda.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sababu za kumwosha Mgonjwa mwili mzima,ni sababu ambazo umsaidie mgonjwa ili aweze kupata nafuu mapema na kumsaidia kama tutakavyoona hapo chini
Soma Zaidi...Unapokuwa na kizunguzungu unashindwa kuudhibiti mwili wako, unaweza kuanguka kabisa.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyeng'atwa na nyoka
Soma Zaidi...Posti inahusu huduma ya kwanza kwa mwenye jeraha linalotoa damu.huduma ya kwanza Ni kumsaidia mtu alie pata jeraha au ajali kabla hajamwona dactari au kufika hospitalinia.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili za kuwepo kwa kizungu Zungu,ni Dalili ambazo Uweza kujionyesha kwa mtu ambaye ameshawahi kupatwa na tatizo la kizungu Zungu au hajawahi kupata dalili zenyewe ni kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kujilinda dhidi ya mapunye
Soma Zaidi...