Namna ya kumtunza mtoto aliyezaliwa
Post hii inahusu zaidi namna ya kumtunza mtoto mchanga aliyezaliwa, ni njia zitoleeazo na wakunga Ili kumtunza mtoto mchanga aliyezaliwa.
Njia za kumtunza mtoto mchanga aliyezaliwa
1. Mtoto anapozaliwa tu kitu Cha kwanza kabisa ni kumfanya usafi kuhakikisha kuwa ametolewa maji ambayo aliyavuta puani,masikioni na kumsafisha kwa ujumla.
2. Kumpatia joto la kutosha, tujue kuwa mtoto amekuja katika ulimwengu mwingine anaposwa kukunjwa kwenye nguo zitakazompatia joto la kutosha,
3. Kuhakikisha mtoto amepata chanjo zinazohitajika kama vile chanjo ya surua, chanjo ya inni na chanjo nyingine so, kama ana maambukizi anapaswa kupewa Nevirapine Ili kuzuia kinga ya mwili isishuke
4. Kuangalia kama ana maambukizi yoyote kama vile malaria,mafia na vitu vingine ambavyo si kawaida kwa mtoto vikitokea vinapaswa kutibiwa mara Moja,
5. Kuangalia kama mtoto amezaliwa na kilo kidogo au kubwa zaidi, kama ni kidogo atawekwa kwenye uangalizi zaidi kama ni kilo nyingi pia ataendelea kuangalia kwa zaidi akiwa hospitalini
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Dua za Mitume na Manabii 👉2 ai web app 👉3 Kitabu cha Afya 👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉5 Kitau cha Fiqh 👉6 kitabu cha Simulizi
Post zinazofanana:
Njia za kutibu mbegu dhaifu.
Posti hii inahusu zaidi njia za kutibu mbegu dhaifu, ni njia ambazo utumika kutibu mbegu ambazo ni dhaifu ili kuweza kuondoa tatizo hili ambalo limewakumba wanaume wengi na kusababisha madhara makubwa kwenye ndoa au familia.
Soma Zaidi...Sababu za mwanamke kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa
Posti hii inazungumzia kuhusiana na sababu zinazosababisha kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa.
Soma Zaidi...Tiba mbadala ya fangasi wa uumeni
Somo hili linakwenda kukuletea tiba mbadala ya fangasi wa uumeni
Soma Zaidi...Dalili za mimba katika mwezi wa kwanza
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za mimba katika mwezi was kwanza
Soma Zaidi...Dalili za kujifungua hatua kwa hatua
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za kujifungua hatua kwa hatua
Soma Zaidi...Maumivu ya tumbo wakati wa tendo la ndoa
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za maumivu ya tumbo wakati wa tendo la ndoa
Soma Zaidi...