image

Namna ya kutibu ugumba kwa Mwanaume.

Posti hii inahusu zaidi namna ya kutibu tatizo la ugumba kwa Mwanaume, ni njia ambazo utumiwa na wataalam mbalimbali Ili kuweza kutibu tatizo la ugumba kwa wanaume.

Namna ya kutibu tatizo la ugumba kwa wanaume

1. Kuepuka kufanya ngono na wapenzi wengi (michepuko)

kila washiriki wako wa ngono wanapoongezeka ndipo unapozidi kujiweka kaika hatari ya kupata magonjwa ya ngono. katika magonjwa haya yapo ambayo yanaweza kuathiri mfumo wa uzazi na kukufanya upoteze uwezo wa kusababisha mimba kwa mpenzi wako.

 

2. Kufanyiwa upasuaji.

Upasuaji pengine ni wa lazima katika via vya uzazi vya wanaume kwa Sababu pengine mbegu za kiume uzalishwa na kutunzwa Ili ziweze kukomaa lakini pengine zinashindwa kupanda au upanda kidogo kwa sababu ya mrija unaopandisha mbegu uwa na Maambukizi ambayo ubana sehemu ambazo mbegu zinaweza kupitia na kutungisha mimba, kwa kufanya upasuaji sehemu ya kupitia mbegu inaweza kutosha na baadae mwanaume anaweza kutungisha mimba.

 

3. Kutumia dawa na Vitamini .

Kwa kutumia dawa na Vitamini mbalimbali vinaweza kufanya mwanaume anaweza kutungisha mimba, kwa sababu Kuna dawa ambazo usaidia mbegu za kiume ziweze kukomaa na dawa nyingine usababisha kiasi Cha shahawa kuongezeka na kuweza kutungisha mimba, kwa hiyo wanaume wakigundua tatizo hili wanapaswa kwenda kuwaona wataalamu wa afya kwani dawa zipo na wengi wamepona.

 

4. Kutumia njia za kisasa za kuvuna manii ya mwanaume na kuyapandikiza kwa mwanamke.

Kuna njia nyingine bambayi utumiwa na wataalam ambapo mbegu  za mwanaume uchunjwa na kubaki zile mbegu zenye nguvu ya kutungisha mimba na kuziweka  karibu na mwanamke na Mimba inatungwa vizuri na mfumo huu kwa kitaalamu huitwa intrauterine insemination hii njia umetumiwa na wengi na wamefaulu kupata watoto.





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 4082


Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-

Habari Mimi ni mjamzito was miezi Tisa sasa nimeanza kutokwa na maji kidogo kidogo ukeni bila uchungu na no mimba yangu ya kwanza he Kuna shida?
Ujauzito husababisha mabadiliko mengi mwilini, ikiwepo ongezeko la Majimaji ukeni ifikapo tarehe za kukaribia kujifunguwa. Majimaji haya ni muhimu kwa afya ya mtoto aliye tumboni. Soma Zaidi...

Nini husababisha mtoto kukosa maji kabla ya kuzaliwa?
inaweza kutokea kuwa mtoto aliye tumboni akaishiwa maji hata kabla ya kuzaliwa. yes hali hii huweza kuwapata baadhiya watoto. Soma Zaidi...

Madhara ya mtoto kuzaliwa akiwa na uzito mkubwa
Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea kama mtoto alizaliwa na uzito mkubwa. Soma Zaidi...

Nikila tumbo linauma, mdomo mchungu, matiti yanauma na hedhi sijapata, je ni dalili za mimba?
Mdomo kuwa mchungu ni halia mabayo haiashirii ishara mbaya za kiafya. Mdomo unaweza kuwa mchungu kutokana na vyakula. Pia hutokea ikawa ni ishara ya baadhi ya maradhi, ama ni matokeo ya baadhi ya shda za kiafya. Je vipi kuhusu maumivu ya matiti na tumb? Soma Zaidi...

Zijue sababu zinazosababisha kupungua kwa idadi ya mbegu za kiume
Kupungua kwa idadi ya mbegu za kiume kunamaanisha kuwa Majimaji (shahawa) unayotoa wakati wa kufika kileleni huwa na mbegu chache kuliko kawaida. Hesabu yako ya manii inachukuliwa kuwa chini kuliko kawaida ikiwa una chini ya mbegu milioni 15. Kuwa na idad Soma Zaidi...

Sababu za maumivu wakati wa tendo la ndoa
Kama unapata maumivu wakati wa tendo la ndoa, suluhisho lako lipo kwenye makala hii Soma Zaidi...

Mwanaune anapataje fangasi kwenye uume
Post hii itakujulishs kwa namna gani mwanaune anaweza kupata fangasi kwenye uume wake Soma Zaidi...

Kaka nasumbuliwa saan na tatizo la kuwasha kwenye kichwa Cha uume Sijui nifanyaje
Je kichwa cha uume wako kinawasha, na je kinatoa majimaji kwenye njia ya mkojo, una muda ganinavtatizo hili. Na je ulishiriki ngono zembe siku za hivi karibuni? Soma Zaidi...

Dalili za mimba katika mwezi wa kwanza
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za mimba katika mwezi was kwanza Soma Zaidi...

Sababu za kuvunjika kwa mtoto wakati wa kuzaliwa.
Post hii inahusu zaidi sababu za kuvunjika kwa mtoto wakati wa kuzaliwa, kuna wakati mtoto anapozaliwa anaweza kuvunjika kwenye sehemu mbalimbali kwa sababu zifuatazo. Soma Zaidi...

Mimba huonekana katka mkojo baada ya muda gan tangu itungwe
Kipimo cha mimba kwa mkojo kimekuwa kikitumika sana kuangalia ujauzito. Kipimo hiki kinapotumika vibaya kinaweza kukupa majibu ya uongo. Kuwa makini na ujue muda sahihi. Soma Zaidi...

DALILI ZA UJAUZITO KICHEFU CHEFU, KUTAPIKA, HEDHI, DAMU UKENI, KUJOJOAKOJOA N.K (mimba changa, mimba ya wiki moja, mimba ya mwezi mmoja )
DALILI KUU ZA MIMBA (UJAUZITO) Watu wengi sana wamekuwa wakilalamika kuwa mimba zao zinatoka, ama kupotea bila ya kujulikana tatizo wala bila ya kuugua. Soma Zaidi...