Posti hii inahusu zaidi namna ya kuzuia dalili za hatari kwa aliyefanyiwa upasuaji, ni mbinu mbalimbali ambazo utumika ili kujaribu kuepuka Dalili za hatari kwa aliyefanyiwa upasuaji.
Namna ya kuzuia dalili za hatari kwa aliyefanyiwa upasuaji.
1. Kuwepo kwa umakini wakati wa kufanya upasuaji ili kuzuia makosa ya kukata viungo vingine visivyohusiana na upasuaji ambavyo kwa kawaida ndicho utoa sana damu, kwa hiyo wanapaswa kuandaliwa wataalamu wenye ujuzi ili kuweza kuepuka usumbufu ambao utokea kwa wagonjwa hasa hali ya kutoka damu ambapo ikizidi usababisha mgonjwa kupoteza kiwango cha dumu natimaye kupoteza maisha
2. Kuhakikisha kuwa Mama ana maji ya kutosha mwilini na na madini ya kutosha kabla hajaenda kwa sababu anapofanyia upasuaji anapoteza damu na maji pia na madini upungufu a na saa nyingine mgonjwa anaweza kuzimia, ni vizuri kabisa kuwa mgonjwa anapaswa kuwa na maji kabla ya upasuaji, wakati wa upasuaji ili kuepusha hali hiii ambayo ni kupoteza maji na kusababisha madhara makubwa
3. Pia wataalamu wa afya wanapaswa kumweka mgonjwa kwenye mkao mzuri wakati wa upasuaji ili kuepuka hali ya maji maji kwenye mfumo wa hewa pia wanapaswa kuwa na kifaa cha kuvuta maji maji ambayokama yameinga kwenye mfumo wa hewa na kuweza kumwacha mgonjwa salama
4, Na pia mgonjwa aliyepaswa kujua mzio wowote kuhusiana na dawa anapaswa kutumia ili kuweza kuepuka madhara yatokanayo na kwa hiyo mkunga anapaswa kumuuliza Mgonjwaç na pia kuchukua history kuhusu dawa kama ashawahi kuzitumia kwa hiyo wote wanapaswa kuwa macho ili kuhakikisha kuw mgonjwa amepata huduma inayostahili
.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...MINYOO NA HATARI YEKE KWA AFYA Utangulizi Karibu tena kwenye makala zetu za afya.
Soma Zaidi...Posti hii inakwenda kukuletea mfumo wa damu mwilini na safari zake za Kila siku
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi utumiaji wa pombe na sigara pamoja na madawa katika jamii.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa nguo za upasuaji, tunajua wazi kuwa, wakati wa upasuaji tunapaswa kusafisha chumba na mazingira yake lengo ni kuhakikisha kuwa tunazuia wadudu wasisambae au kuingia kwenye mwili wa binadamu.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi namna ya kutunza chumba cha upasuaji, chumba cha upasuaji ni tofauti na vyumba vingine kwenye hospitali kwa hiyo vinahitaji uangalizi wa hali ya juu sana ili kuepuka aina yoyote ya uchafu kuwepo kwenye chumba hicho, zifuatazo ni na
Soma Zaidi...Kupata kitabu hiki download faili la PDF hapo chini na usome bila ya internet.
Soma Zaidi...