NAMNA YA KUZUIA UVIMBE KWENYE KIBOFU CHA MKOJO.


image


Posti hii inahusu zaidi namna ya kuzuia uvimbe kwenye kibofu Cha mkojo,ni njia ambazo mtu anaweza kutumia Ili kuzuia uvimbe kwenye kibofu Cha mkojo.zifuatazo ni njia zinazoweza kutumika kama mtu amepata uvimbe kwenye kibofu Cha mkojo.


1. Kufanya usafi baada ya kujamiiana.

Mwanamke na mwanaume wanapomaliza kujamiiana wanapaswa kufanya usafi hasa kwa mwanamke Ili kuweza kutoa bakteria ambao wanakuwa wameingia kwenye uke kwa kufat hivyo mwanamke anaweza kuepuka kuambukizwa magonjwa yanayosababisha uvimbe kwenye kibofu Cha mkojo, kwa hiyo ni lazima kufanya usafi baada ya kujamiiana.

 

2. Kuepuka kutumia sabuni za kunukia na marashi kwenye sehemu za mwili.

Kuepuka kutumia sabuni za kunukia na za Siri kwenye sehemu za Siri kwa sababu vitu kama hivyo usababisha kuua bakteria  wazuri na kubakiza bakteria wabaya ambao uleta maambukizi kwenye kwa sababu bakteria wazuri wanazuia maambukizi ya Magonjwa na kubakiza wabaya ambao usababisha kila ugonjwa na hatimaye maambukizi kuongezeka, kwa hiyo kwa kutumia sabuni za kawaida hazina kemikali nyingi ambazo uharibifu bakteria wazuri .

 

3. Unapomaliza kukojoa tu hakikisha unasafisha vizuri Ili kuhakikisha kuwa wadudu wameisha kwenye mwili, unapomaliza kukojoa tu unapaswa kupangusa vizuri Ili kuepuka bakteria kuendelea kuwepo kwenye kibofu Cha mkojo na kuendelea kusababisha maambukizi kwenye kibofu Cha mkojo.

 

4. Ukihisi kuwa una mkojo hakikisha unakojoa Ili kuacha hali ya bakteria kuendelea kuwepo kwenye sehemu mbalimbali za mwili, kwa sababu bakteria wakiendelea kuwepo kwenye kibofu Cha mkojo wanazaliana na kukua na baadae kuleta maambukizi kwenye kibofu Cha mkojo na hatimaye kuleta uvimbe Ila tukisafisha vizuri tunaweza kuepusha magonjwa ya uvimbe kwenye kibofu Cha mkojo.

 

5. Safisha kutoka mbele kwenda nyuma.

Tunaposafisha tunapaswa kusafisha kutoka mbele kwenda nyuma Ili kuepuka kutoa bakteria kutoka kwenye sehemu za kinyesi kwenda sehemu za kibofu Cha mkojo, kwa hiyo tunapaswa kusafisha kutoka mbele kwenda nyuma kwa Sababu bakteria wa kwenye kinyesi akiungua kwenye kibofu Cha mkojo anaketa maambukizi kisha uvimbe kwenye kibofu Cha mkojo.

 

6. Daima epuka sana kuvaa nguo zilizobana kwenye sehemu za Siri kwa Sababu hewa hauwezi kupita na kusababisha bakteria kukaa kwenye sehemu mbalimbali za kibofu Cha mkojo lakini tukivaa nguo ambazo hazibani tunaruhusu hewa kuingia kwenye sehemu za Siri na bakteria wanaweza kutoka kwa urahisi.



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    2 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    3 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    4 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    5 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    6 Maktaba ya vitabu    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Namna ya kusaidia vijana wakati wa kubarehe
Post hii inahusu zaidi namna ya kuwasaidia vijana wakati wa kubarehe, ni njia za kuhakikisha kuwa vijana wanakuwa na mwelekeo , Soma Zaidi...

image Maji ya Amniotic
Posti hii inahusu zaidi maji ya Amniotic ni maji ambayo uzunguka mtoto na kufanya kazi mbalimbali kama ifuayavyo. Soma Zaidi...

image Dalili za uvimbe kwenye kibofu Cha mkojo
Post hii inahusu zaidi dalili za uvimbe kwenye kibofu Cha mkojo, ni dalili ambazo ujitokeza kwa mtu Mwenye tatizo la uvimbe kwenye kibofu Cha mkojo, ingawa sio watu wote wenye dalili kama hizi Wana uvimbe kwenye kibofu Cha mkojo Ila zikitokea mtu anapaswa kwenda hospitalini kupima Ili kupata uhakika wa afya, zifuatazo ni dalili za mtu Mwenye tatizo la uvimbe kwenye kibofu Cha mkojo. Soma Zaidi...

image Vipimo vya minyoo
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vipimo vya minyoo Soma Zaidi...

image Ukosefu wa madini ya Shaba mwilini
Posti hii inahusu zaidi Ukosefu wa madini ya Shaba mwilini, ni Ukosefu wa madini ya Shaba mwilini ambao usababisha madhara kama ifuatavyo. Soma Zaidi...

image Tiba mbadala za vidonda vya tumbo
Somo hili linakwenda kukuletea tiba mbadala za vidonda vya tumbo Soma Zaidi...

image Nguzo kuu za umama katika umri wa kupata watoto na kulea watoto
Posti hii inahusu zaidi nguzo kuu za umama katika umri wa kujifungua na kulea watoto, ni kipindi ambacho mama anakuwa analea watoto kwa kawaida kadri ya makadirio kipindi hiki uanza kati ya miaka kumi na mitano mpaka arobaini kwa walio wengi na kinaweza kubadilika kadri ya maamuzi ya wahusika. Soma Zaidi...

image Aina kuu tatu za vyakula na kazi zake
Posti hii inahusu zaidi Aina kuu tatu za vyakula na kazi zake, hii ni Aina tatu za vyakula na kazi zake jinsi zinavyofanya kazi, hufanya kazi kama ifuatavyo, Soma Zaidi...

image Namna ugonjwa wa herpes simplex unavyosambaa.
Posti hii inahusu zaidi namna ya ugonjwa wa vipele kwenye midomo na sehemu za siri unavyoweza kuenea kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine. Soma Zaidi...

image Aina za kifua kikuu.
Posti hii inahusu zaidi aina mbili za kifua kikuu, aina ya kwanza ni ile ya kawaida ambayo ushambulia mapafu na aina ya pili ni ile ambayo ushambulia sehemu mbalimbali za mwili kama vile kwenye limfu node, kwenye sehemu za moyo, kwenye uti wa mgongo, kwenye tumbo, kwenye sehemu za via vya uzazi. Soma Zaidi...