NASABA YA MTUME


image


Bara arabu zama za jahiliyyah (EDK form 2 dhana ya elimu ya uislamu)


  1. Kuandaliwa Mtume (s.a.w) Kulingania Uislamu katika mji wa Makkah.
  • Nasaba ya Mtume (s.a.w).

-    Mtume (s.a.w) alizaliwa siku ya kuamkia Jumatatu, tarehe 20 mwezi April, 570 A.D. sawa na mwezi 12 Rabi’ul-Awwal, mwaka wa tembo.

 

-    Muhammad (s.a.w) alizaliwa katika kabila la Quraish, baba yake ni Abdullah bin Abdul-Muttalib, aliyefariki kabla ya kuzaliwa kwake.

 

-    Mama yake Muhammad (s.a.w) ni Amina bint Wahhab, ambaye ni miongoni mwa koo za Kiqureish pia.

 

-    Uzaliwa wa Muhammad (s.a.w) una nasaba na kizazi cha Nabii Ismail (a.s), alipozaliwa alipewa jina la ‘Muhammad’ au ‘Ahmad’ lenye maana ya mwenye kusifiwa kwa vitendo vizuri. 



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    2 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    3 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    4 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    5 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    6 Mafunzo ya php    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Kusimamisha swala.
Kwenye kipengele hiki tutajifunza maana ya swala ni nin?. Na masharti ya swala. Soma Zaidi...

image Taasisi za kisiasa za msingi alizotumia mtume (s.a.w) katika kuanzisha dola ya kiislamu madinah
Dola ya kiislamu madinah (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Msimamo wa uislamu juu ya utumwa
Haki na uadilifu katika uislamu (EDK form 3: Dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Saumu (funga)
Nguzo za uislamu (EDK form 3:dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Maana ya Elimu katika uislamu na nani aliye elimika?
Hili ni swali kutoka katika maarifa ya elimu ya dini ya kiislamu kidato cha kwanza (EDK FORM 1) Soma Zaidi...

image Suratul-takaathur (102) imeteremshwa makkah Ina aya nane
Quran (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Kuamini vitabu vya mwenyezi Mungu (s.w)
Nguzo za Imani (EDK form 2: Dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Namna ya kutekeleza swala ya maiti hatua kwa hatua
Mambo ya faradh kwa maiti ya muislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Fiqh.
Kipengele hichi tutajifunza chimbuko la fiqh na maana ya figh. Soma Zaidi...

image Hoja juu ya kukubalika hadithi
Sunnah na hadithi (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...