Nataka nijue Kuwa njia yakuzuia mimba wakati Wakufany tendo La ndoa

Je ungependa kuijuwa Njia ya kuzuia mimba wakati wa tendo la ndoa?. Posti hii itakwenda kukufundisha ujanja huu.

Swali: 

Nataka nijue Kuwa njia yakuzuia mimba wakati Wakufany tendo La ndoa

 

Jibu:

Kwanza itambulike kuwa wakati wa kufanya tendo la ndoa mimba itaingia endapo mwanaume atamwaga mbegu zake na kuingia kwenye njia ya uzazi ya mwanamke. Na si hivyo tu ni mpaka mbegu zile ziwe na uwezo wa kutungisha mimba, pia lazima zikutane na yai zikiwa na afya imara. Hivyo basi kutungwa kwa mimba kunategemeana na hali nyingi. 

 

Hivyo basi endapo utaweza kuzuia mbgu kuingia kwene njia ya uzazi, utakuwa umeweza kuzuia uwezekano wa kupata mimba. Hivyo basi wacha tuzione njia hizo:-

1. Kumwaga nje. Njia hii kitaalamu inatambulika kama withdraw yaani kabla ya mwnaume umwaga mbegu anatakiwa achomoe uume na kumalizia kumwaga mbegu nje. Hii ni nia ya ki asilia ambayo haina shida. Ijapokuwa inaweza kuathiri saikolojia na kushindwa kufurahia tendo.

 

2. kutumia kinga. Endapo kitendo kitafanyika kwa ktumia kinga basi itakuwa rahisi kuzuia mbegu za mwanaume kuingia kwenye njia ya uzazi ya mwanamke.

 

Njia hizo zinahitaji umakini wa hali ya juu. kwani endapo hamtakuwa makini kondom inaweza kupasuka na kupelekea kuvuja wa mbegu na kuingia kwenye njia ya uzazi ya kike. Ama mwanaume akashindwa kuchomoa na kumwagia nje.



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/03/16/Wednesday - 12:39:28 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 930


Download our Apps
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-