Ndege kwenye ulimbo

Wahenga wanaelewa, enzi hizo unaambiwa ndege akinasa basi unakumbuka macho juu asije akayoke. Hukuchinib. hujali kama kuna mjimba ama nini

Miaka huyo muhenga unakwenda kutafuta ulimbk msituni,  inakuja kutengeneza kwa ajili ya kunasia ndege. Mti wa mmbungo ni moja katika mtito iliyotumika kutengeneza ulimbo. 

 

Sasa pale wanaponasa unaanza kukimbia huku macho yanaangalia juu. Unaangalia juu ili kwamba kama atachomoa utamjuwa alipoelekea. 

 

Sasa wakati unaangalia juu huku chini miguu inaweza kukanyaga miiba ama majiti. Hayabyite hata hujali. Kujenga inaweza ukagongwa na nyoka kwa kufanya hivyo. 

 

Mungu awabariki wahenga wote. 

By Muhenga MkorofiJe! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/12/22/Thursday - 10:24:40 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1060


Download our Apps
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-