Ndug mi naitaj ushauri mimi nishaingia kwenye tendo dakika 7 tu nakua nishafika kilelen naomba ushauri ndugu

Kama unadhani una tatizo la kuwahi kufika kileleni basi post hii ni kwa ajili yako.

'swali

'Ndug me naitaj ushaul man nishaingia kwny tendo dakika 7 tu nakua nidhfk kilelen naomb ushaul ndug'

 

Jibu

'Huwenda huna shida sana.  Wenye tatizo huwa wanamwaga ndani ya sekunde 30.

 

'Tafiti zinaonesha kuwa wastani wa wanaume kushiriki tendo la ndoa ni dakika 5. Kuna baadhi ya tafiti zinaonesha ni dakika 3.

 

'Hii inamaana kama wewe ni dakika 7 hupo kwenye wenye tatizo.

 

'Hivyo basi unachohitaji wewe ni kukutana na mtu akushauri namna ya kuongeza kidogo ama kuendana na kasi ys mpenzi wako'



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/05/15/Sunday - 08:30:39 am     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1246


Download our Apps
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-