Ndugu mke Wang viungo vina mlegea miguu inamuaka moto nn tatozo

Je unasumbuliwa na tatizo la kukosa nguvu, kuchoka ama kuhisi viungi vinelegea. Endelea na post hii.

Swali: 

Ndugu  mke Wang viungo vina mlegea miguu inamuaka moto nn tatizo? 

 

Jibu: 

' Tafadhali fika kituo cha afya kupata vipimo.  Hali hiyo inaweza kuwa ni ujauzito.   ama ni uchovu. Kama anapata maumivu ya kichwa ama tumbo vyema akapate vipimo.



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2021-10-30     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1132


Download our Apps
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-

Vipimo vya VVU
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vipimo mbalimbali vinavyotumika kupima VVU Soma Zaidi...

Dalilili za pepopunda
postii hii inshusiana na dalili na matatizo ya pepopunda. Pepopunda ni ugonjwa hatari wa kutishia maisha unaosababishwa na sumu ya tetanospasmin inayozalishwa katika majeraha yaliyoambukizwa na kizuizi cha bacillus clostridia. Bakteria ya pepopunda hu Soma Zaidi...

Mambo yanayosababisha kiuno au mgongo kuwa na maumivu
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Mambo yanayoweza kusababishwa mgongo wAko au kiuno kwa na maumivu, Mgongo ukiwa na maumivu makali Sana yanaweza kusababishwa shida kubwa ata utakapokaa au ukilala au ukitumia bado maumivu yanakuwepo. Soma Zaidi...

Dalilili za saratani ya utumbo
Saratani ya Utumbo ni Saratani ya utumbo mpana (koloni), sehemu ya chini ya mfumo wako wa usagaji chakula. Kwa pamoja, mara nyingi hujulikana kama Saratani ya utumbo mpana. Visa vingi vya Saratani ya utumbo mpana huanza Soma Zaidi...

Yajue magonjwa nyemelezi.
Posti hii inahusu zaidi magonjwa nyemelezi ambayo kwa kawaida utokea pale ambapo kinga ya mwili inashuka. Soma Zaidi...

Magonjwa yanayowashambulia watoto wachanga
Watoto wachanga ni watoto wenye umri chini ya miaka mitano, watoto hawa hushambulia na maginjwa mara kwa mara na kusababisha ukuaji wao kuwa dunk, Soma Zaidi...

Dalili za ugonjwa wa uvimbe na mashambulizi ya bacteria kwenye korodani
Posti hii inaonyesha dalili,Sababu,na namna ya kujikinga na ugonjwa wa uvimbe na mashambulizi ya bacteria kwenye korodani ambao kitaalamu hujulikana Kama orchitis. Soma Zaidi...

Ugonjwa wa degedege na dalili zake
Ugonjwa wa degedege ni ugonjwa unaowapata sana watoto chini ya miaka mitano ingawa na watu wazima wanapatwa na ugonjwa huo Soma Zaidi...

Madhara ya kichaa cha mbwa
Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea kama mtu hajatibiwa ugonjwa wa kichaa cha mbwa. Soma Zaidi...

Ishara na dalilili za Kichaa Cha mbwa
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Kichaa cha mbwa ni virusi hatari vinavyoenezwa kwa watu kutoka kwa mate ya wanyama walioambukizwa. Virusi vya kichaa cha mbwa kawaida hupitishwa kwa kuuma. Soma Zaidi...

Madhara ya maambukizi kwenye tumbo
Posti hii inahusu zaidi madhara ya maambukizi kwenye tumbo,hasa pale ambapo mgonjwa hakutibiwa Soma Zaidi...

Je minyoo inaweza kusababisha mmeng'enyo wa chakula kuwa dhaifu?
Mfumo wa chakula unaweza kuwa dhaifu kwa sababu nyingi ikiwepo vyakula vyenyewe, vinywaji ama maradhi. Vipi kuhusu minyoo? Endelea na makala hii utajifunza zaidi. Soma Zaidi...