Zifuatazo ni nguzo za imani (EDK form 2: elimu ya dini ya kiislamu)
- Imani juu ya kuwepo Mwenyezi Mungu ni jambo la kwanza kabisa kwa kila mwenye akili timamu kupitia ishara na maumbile mbali mbali yanayotuzunguka.
Rejea Qur’an (3:190).
- Baada ya kumtambua, ni kumuabudu ipasavyo na kutomshirikisha katika sifa na majina yake matukufu na kiumbe yeyote.
Rejea Qur’an (18:109), (31:27), (57:1-7), (59:22-24).
Rejea Kitabu cha 2, EDK, Shule za Sekondari; Uk.8-16.
- Malaika ni viumbe wa Mwenyezi Mungu walioumbwa kutokana na nuru kwa lengo la kumtumikia Mwenyezi Mungu (s.w).
- Ni viumbe wa kiroho, wasio na jinsia, wenye mabawa na wenye uwezo wa kujimithilisha na kitu (kiumbe) chochote.
- Hawana matashi ya kibinaadamu kama kula, kulala, kunywa, kuchoka, kuugua na hawana hiari kwa kila wanachoamrishwa na Mwenyezi Mungu (s.w).
Rejea Qur’an (16:49-50), (7:206) na (21:26-27).
- Kuamini vitabu vya Allah (s.w) ni lazima kwa kila muumini wa kweli kama vilivyoainishwa katika Qur’an, ambavyo baadhi ni;
- Vitabu hivi vimeteremshwa kwa lengo la kuwaongoza wanaadamu katika njia sahihi na iliyonyooka ya maisha yao ili kufikia lengo la kuumbwa kwao.
Rejea Qur’an (57:25) na (5:46).
Rejea Qur’an (6:92), (2:75), (4:14), (5:15), (5:48) na (16:64).
- Mitume ni wanaadamu wanaume walioteliwa ili kuwaongoza na kuwa mifano bora ya kuigwa kwa watu (ummah) wao katika kutekeleza ujumbe wao.
Rejea Qur’an (10:47), (6:83-86)
Rejea Kitabu cha 2, EDK, Shule za Sekondari; Uk.23.
- Ni kuwa na yakini moyoni kuwa kuna maisha mengine baada ya kufa.
- Kwa mujibu wa amali zao (vitendo vyao).
- Amekiumba kila kiumbe kwa lengo maalumu na kukikadiria mahitaji yake yote.
Rejea Qur’an (11:6), (57:22), (54:49) na (25:2).

Je! umeipenda hii post?
Ndio Hapana Save post
Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1688
Sponsored links
π1 Kitau cha Fiqh
π2 kitabu cha Simulizi
π3 Kitabu cha Afya
π4 Madrasa kiganjani
π5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
Madai ya Makafiri dhidi ya kuwepo kwa Allah (s.w) na Udhaifu wa Madai hayo.
2. Soma Zaidi...
njia ya maandishi
Soma Zaidi...
Sababu za kutokubalika kwa vitabu vilivyotumwa kuwa muongozo sahihi wa maisha ya mwanadamu zama hizi
Soma Zaidi...
Nafsi ya mwanaadamu
Soma Zaidi...
Historia ya Mwanadamu
Soma Zaidi...
1.0 NJIA ZA KUMJUA MWENYEZI MUNGU (S.W)
1. Soma Zaidi...
UMBILE LA MBINGU NA ARDHI
βKatika kuumbwa mbingu na ardhi na mfuatano wa usiku na mchana,ziko alama (hoja) za kuonyesha kuwepo Allah (s. Soma Zaidi...
Maswali juu ya nguzo za Imani
Nguzo za imani (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...
ENYI WAJA WANGU NIMEIKATAZA NAFSI YANGU DHULMA
Soma Zaidi...
Elimu yenye manufaa
Elimu yenye manufaa Ni ipi?
(EDK form 1:elimu yenye manufaa) Soma Zaidi...