image

Nguzo za swala ya maiti

Mambo ya faradh kwa maiti ya muislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)

-    Swala ya maiti inaswaliwa wima; haina rukuu, sijda wala kikao.

-    Nguzo za swala ya maiti ni;

  1. Nia
  2. Takbira ya kuhirimia
  3. Kusoma Suratul-Faatiha.
  4. Takbira ya Pili.
  5. Kumswalia Mtume (s.a.w) kama tufanyavyo kwenye Tahiyyatu.
  6. Takbira ya Tatu.
  7. Kumuombea dua maiti.
  8. Takbira ya Nne.
  9. Kuombea dua waislamu wote, kisha kutoa Salaam           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/01/02/Sunday - 02:54:56 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 937


Download our Apps
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-

Mafungu ya urithi katika uislamu
Hspa utajifunza viwango maalumu vya kutithi mirathi ys kiislamu. Soma Zaidi...

Haki na Wajibu wa mume kwa mkewe na familia
Soma Zaidi...

hizi ndizo sharti za swala
Soma Zaidi...

Je matapishi ni hadathi ndogo? Au hayatengui udhu
Asalaam alaikum. Soma Zaidi...

Aina za swala..
Nguzo za uislamu,aina za swala (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

Aina 12 za swala za sunnah na idadi ya rakaa zake wakati wa usiku na mchana
Aina za Swala za Sunnah. Soma Zaidi...

Hawa ndio wanaoruhusiwa kurithi
Hii ni orodha ya watu ambao wanaweza kurithi malibya marehrmu. Soma Zaidi...

Mambo muhimu ya kuzingatia katika kujenga uchumi wa kiislamu
Nazingatio muhimu katika uchumi unaofuata sheria za kiislamu. Soma Zaidi...

Hizi ndio nyakati za swala tano na jinsi ya kuchunga nyakati za swala.
Posti hii inakwenda kukufundisha kuhusu jinsi yavkuchunga nyakatibza swala tano. Soma Zaidi...

Jinsi ya kuzika maiti wa kiislamu hatuwa kwa hatuwa
Post hii itakufundisha taratibu za kuzika maiti wa kiislamu hatuwa kwa hatuwa. Soma Zaidi...

Haki ya kumiliki mali katika uislamu
Soma Zaidi...

Maneno mazuri mbele ya mwenyezi Mungu
kuna adhkari nyingi sana ambazo Mtume wa Allah ametutaka tuwe tunadumu nazo. lajkini kuna adhkari ambayo imekusanya maneno matukufu na yanayopendwa sana na Allah. Soma Zaidi...