16.
16. Kuepuka Mabishano
Mabishano husababisha ugomvi, maudhi au kudharauliana. Mabishano yaweza kutibua mahusiano mzuri kati ya watu. Hivyo Uislamu unatukataza kubishana. Tunatakiwa tuzungumze na watu na kufahamishana mambo kwa hoja na sio kwa mabishano. Tunafundishwa katika Qur-an kuwa tukizungumza na watu ambao hawataki kuelewa bali wanafurahia ubishi tu, basi tusiendelee kuzungumza nao. Bali tuagane nao kwa salama.
โNa waja (wema) wa Rahman ni wale wanaotembea katika ardhi kwa unyenyekevu na wajinga wakisema nao, huwajibu โSalama โ. (25:63)
Umeionaje Makala hii.. ?
Sunnah na hadithi (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...Swala husimama kwa kuhifadhiwa na kuswaliwa kwa khushui na kudumu na swala katika maisha yote.
Soma Zaidi...Kupata kitabu hiki download faili la PDF hapo chini na usome bila ya internet.
Soma Zaidi...ุนููู ุฃูุจูู ุญูู ูุฒูุฉู ุฃูููุณู ุจููู ู ูุงูููู ุฑูุถููู ุงูููู ุนููููู ุฎูุงุฏูู ู ุฑูุณูููู ุงูููููู ุตูู ุงููู ุนููู ู ุณูู ุนููู ุงููููุจูููู ุตูู ุงููู ุนููู ?...
Soma Zaidi...Na kuwapambanua wale waliokuwa wanafiki.
Soma Zaidi...