9.
9. Swala ya Kukidhi Haja
Muislamu anatakiwa amtegemee Allah (s.w) katika kila hali. Kila anapokuwa na tatizo au anapohitajia jambo lolote, anatakiwa amuelekee Allah (s.w) na aombe msaada kutoka kwake.
        Abdur-Raham ibn Awfi (r.a) amesimulia kuwa Mtume (s.a.w) amesema: Yeyote atakayekuwa na haja ambayo anataka itoshelezwe na Allah (s.w) au na mwanaadamu na atawadhe inavyostahiki, kisha aswali (rakaa mbili) amhimidi Allah na kumtakia Mtume Rehma na amani kisha aseme:
        βHapana Mola (apasaye kuabudiwa) ila Mwenyezi Mungu. Mwingi wa huruma, Mkarimu. Utukufu ni wa Allah, Mfalme wa Arshi Tukufu, Shukurani zote ni za Mwenyezi Mungu Mola (Bwana) wa walimwengu. 
Nakuomba unr'laalie njia ya kupata rehtna Zako na sababu ya kupata msanwha wako: Ninaomba hifadhi Yako kutokuna na kila oru. Usiniache na kosa (dhanrbi) lnlote bila vu kunisatnehe na (usiniache na) na wasi wasi wowote bila ra kuniondolea, na usiniache na haft' vovore venue radhi Zako bila ya kunikidhia. Ewe Mwingi wa Rehnui Mrehentevu ". (Tirmidh, Ibn Majah).
Umeionaje Makala hii.. ?
Athari za Kumuamini Mwenyezi Mungu (s.
Soma Zaidi...MGAWANYIKO KATIKA QURAN Juzuu, Sura, Aya, Manzil, Qara Wataalamu wa elimu za Qurani katika fani za uandishi na usomaji wameigawanya Qurani katika mafungu ili kuwezesha urahisi kwa wasomaji wa qurani.
Soma Zaidi...Muislamu anapoingia Msikitini kabla hajakaa anatakiwa aswali rakaa mbili za maamkizi ya msikiti, Tahiyyatul-Masjid.
Soma Zaidi...Matamanio ya jimai ni katika maumbile na hayaepukiki.
Soma Zaidi...Ujumbe wa Qur-an Utawafikiaje Wale wasio Waarabu au wale Wasiojua Kiarabu?
Soma Zaidi...Dalili Za Kuwepo Mwenyezi Mungu (S.
Soma Zaidi...Wakati wa Wafuasi wa Masahaba (Tabi'i Tabi'ina)201-300 A.
Soma Zaidi...