Swala ya Kuomba Toba (tawbah) na namna ya kuiswali

N Swala ya Kuomba Toba (tawbah) na namna ya kuiswali

10. Swalatut-Tawbah



Swalatut-Tawbah ni swala va kutubia.Muislamu akitclcza na kuritkosea Mola wake au bina tdainu mwenzake au akidhulumu naisi yake, hana budi kutubu upesi iwezekanavvo. Kutubu maana yake ni kujutia kosa ulilolifanya, kuku.na moja kwa moja kufanya kosa kilo. kuahidi kwa dhati moyoni kutorudia kosa hilo na kuomba msamaha kwa Allah kama umemkosea Yeve moja kwa moja. Kama umemkosea binaadamu kwanza muombe msamaha yeye mwenyewe kama inawezekana, kisha muombe Mwenyezi Mungu msamaha. Kama haiwezekani kumuomba msamaha huyo uliyemkosea, muombe msamaha Mwenyezi Mungu.



Njia nzuri ya kutubia ni kuswali rakaa mbili kisha kuomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu kama tunavyojifunza katika Hadithi ifuatavo:
Abu Bakar ir.al amesimulia kuwa Mtutne (s.a.w) amesema:



'Na ambao wanapofanya uchafu au kudhulumu nafsi zao humkumbuka Mwenyezi Mungu na kumuomba msamaha kwa dhambi zao. Na nani anayeghufiria dhambi isipokuwa Mw enyezi Mungu? Na haw aendelei na (maovu) waliyoyafanya, hali wanajua (kuwa hayo ni maovu). (3:135-136)




                   


Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 395

Post zifazofanana:-

Mbinu za Mtume Salih(a.s) Katika Kulingania Uislamu
Kama Mitume waliotangulia, Nabii Salih(a. Soma Zaidi...

VOCABULARY TEXT 10
learn English Vocabulary Soma Zaidi...

HISTORIA YA NABII SHUAIB
Soma Zaidi...

Ndoa ya mke zaidi ya mmoja na taratibu zake
Soma Zaidi...

HUKUMU YA KUUWA MTU (KUMWAGA DAMU) KWENYE UISLAMU
' ' ' ' ' ' ': ' ' ' ' ' ' ' ' "' ' ' ' ' [ ' ' '?... Soma Zaidi...

Kumuandaa maiti punde baada ya kufariki dunia
Soma Zaidi...

Sifa za wanafiki zilizotajwa katika surat Al-Imran
Na kuwapambanua wale waliokuwa wanafiki. Soma Zaidi...

Kuibuka kwa kundi la khawarij baada ya vita vya Siffin
Soma Zaidi...

Epuka kuwa muoga na yajue madhara ya uwoga
36. Soma Zaidi...

DARSA ZA NDOA, FAMILIA, SIASA, BIASHARA, UCHUMI, HAKI NA SHERIA KATIKA UISLAMU
1. Soma Zaidi...

Sifa za waumini zilizotajwa katika surat ash-Shuura
'Basi vyote hivi mlivyopewa ni starehe ya maisha ya dunia tu, lakini kilicho kwa Mwenyezi Mungu ni bora na cha kudumu (milele). Soma Zaidi...

BINTI WA NDOTONI
Download kitabu Hiki Bofya hapa BINTI WA NDOTONI. Soma Zaidi...