Yaliyoharamishwa kwa as iye na udhu
Mtu asiye na udhu haruhusiwi kufanya yafuatayo:
1. Kuswali.
2. Kutufu.
Mtu asiye na udhu anaruhusiwa kuchukua msahafu (Qur-an) na kusoma. Kama tunavyojifunza katika hadith ifuatayo:
Ally (r.a) amesimulia: Mtume (s.a.w) alikuwa akitoka chooni kisha akatusomea Qur-an na hakuna chochote kilichomzuia kusoma Qur-an ila alipokuwa na janaba ”. (Abuu Daud, Nisai, Ibn Majah)