Namna ya kutawadha hatua kwa hatua
1. kupiga msaki
2. kusema Bismillaah na kuanza kuosha viganja vya mikono (mara tatu) -hatua 1
3. Kusukutua na kupandisha maji puani (mara tatu) - hatua 2 na 3
4. Kuosha uso kwa ukamilifu (mara tatu) - hatua 4
5. Kuosha mkono wa kulia mpaka kwenye fundo (mara tatu)
-hatua 5
6. Kuosha mkono wa kushoto mpaka kwenye fundo (mara tatu)
-hatua 6
7. Kupaka maji kichwani- hatua 7
8. Kuosha masikio (mara tatu)- hatua 8
9. Kuosha mguu wa kulia halafu wa kushoto mpaka kwenye fundo (mara tatu)- hatua 9.
Baada ya kumaliza utasimama na kuelekea kibla kisha kuleta dua kamal ilibyoelezwa hapo juu.
Umeionaje Makala hii.. ?
Post hii inakwenda kukufundisha kuhusu mambo ambauo ni haramu kwa mtu asiye na udhu.
Soma Zaidi...Hapa utajifunza watu wanaorithi bila ya kuwekewa mafungu maalumu au viwango maalumi vya kurithi.
Soma Zaidi...Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...