Ni lipi lengo la Elimu katika yislamu?

Ni lipi lengo kuu la Elimu katika uislamu (Edk form 1 Dhanaya Elimu)

Lengo kuu la elimu katika Uislamu ni;

1.Ni kumuwezesha mwanaadamu kumtambua Mola wake vilivyo na kuweza kumuabudu kwa usahihi na kikamilifu kwa kila kipengele cha maisha yake ya kila siku kibinafsi, kifamilia na kijamii.

 

2. Ni kuweza kuyajua na kuyafuata maamrisho yote ya Allah (s.w) na kuepukana na makatazo yake pia.

 Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2021-11-03     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1122


Download our Apps
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-