image

ni nyakati zipi ambazo dua hukubaliwa kwa haraka?

Dua ni moja ya ibada ambazo zinamfanya mja awe karibu na Mweznyezi Mungu. Allah amesisitiza tumuombe dua kwa shida zetu zote, pia akaahidi kuwa atatujibu maombi yetu muda wowote tutakao muomba. Sasa ni zipi nyakati nzuri zaidi kuomb adua?

NYAKATI AMBAZO DUA HUJUBIWA.
 

1.Theluthi ya mwisho ya usiku. Huu ni usiku wa manane usiku mkubwa. Muda huu mweye kuomba dua katu haiwezi kurudi kama anavyosimulia Abuuhurairah Ø±Ø¶Ù‰Ø§Ù„له Ø¹Ù†Ù‡ kuwa Mtume ØµÙ„ّي Ø§Ù„له Ø¹Ù„يه ÙˆØ³Ù„ّم amesema  "‏ ÙŠÙŽÙ†Ù’زِلُ Ø±ÙŽØ¨Ù‘ُنَا ÙƒÙÙ„Ù‘ÙŽ Ù„َيْلَةٍ Ø¥ÙÙ„ÙŽÙ‰ Ø§Ù„سَّمَاءِ Ø§Ù„دُّنْيَا Ø­ÙÙŠÙ†ÙŽ ÙŠÙŽØ¨Ù’Ù‚ÙŽÙ‰ Ø«ÙÙ„ُثُ Ø§Ù„لَّيْلِ Ø§Ù„آخِرُ ÙÙŽÙŠÙŽÙ‚ُولُ Ù…َنْ ÙŠÙŽØ¯Ù’عُونِي ÙÙŽØ£ÙŽØ³Ù’تَجِيبَ Ù„َهُ ÙˆÙŽÙ…َنْ ÙŠÙŽØ³Ù’أَلُنِي ÙÙŽØ£ÙØ¹Ù’طِيَهُ ÙˆÙŽÙ…َنْ ÙŠÙŽØ³Ù’تَغْفِرُنِي ÙÙŽØ£ÙŽØºÙ’فِرَ Ù„َهُ ‏"

“anashuka Mola wetu aliye tukuka kuja mbingu ya dunia kila usiku pindi inapobaki theluthi ya usiku ya mwisho kisha husema ‘nani ataniomba nimjibu maombi yake, nani antaniomba nimpe na nani ataniomba msamaha nimsamehe”. (amepokea Bukahari, muslim na wengine).

 

2.Baada ya swala za faradhi. Anayetaka kuomba dua basi aombe baada ya kuswali swala ya faradhi, dua yake itajibiwa. Ø¹ÙŽÙ†Ù’ Ø£ÙŽØ¨ÙÙŠ Ø£ÙÙ…َامَةَ، Ù‚َالَ Ù‚ِيلَ ÙŠÙŽØ§ Ø±ÙŽØ³ÙÙˆÙ„ÙŽ Ø§Ù„لَّهِ Ø£ÙŽÙ‰Ù‘ُ Ø§Ù„دُّعَاءِ Ø£ÙŽØ³Ù’مَعُ Ù‚َالَ ‏"‏ Ø¬ÙŽÙˆÙ’فُ Ø§Ù„لَّيْلِ Ø§Ù„آخِرُ ÙˆÙŽØ¯ÙØ¨ÙØ±ÙŽ Ø§Ù„صَّلَوَاتِ Ø§Ù„ْمَكْتُوبَاتِ ‏"‏ 

Amesimulia Abuu Umama  Ø±Ø¶Ù‰Ø§Ù„له Ø¹Ù†Ù‡ kuwa aliulizwa Mtume ØµÙ„ّي Ø§Ù„له Ø¹Ù„يه ÙˆØ³Ù„ّم ‘dua gani husikulizwa (zaidi na Allah? Akasema:) usiku mkubwa (theluthi ya mwisho ya usiku) na baada ya swala za faradhi’”. (amepokea tirmith kwa isnad sahihi).
 

 

3.Kati ya adhana na iqama. Huu ni muda unaopatikana baada ya kuadhiniwa na mpaka kukimiwa kwa swala. Hapa mwenye kuomba dua itakuwa ni yenye kujibiwa. Amesimulia Anas Ø±Ø¶Ù‰Ø§Ù„له Ø¹Ù†Ù‡ kuwa Mtume ØµÙ„ّي Ø§Ù„له Ø¹Ù„يه ÙˆØ³Ù„ّم amesema “hairudishi (haiachi kujibiwa dua) kati ya adhana na iqama”. (amepokea Abuu Daud, Nisai na tirmith kwa isnad sahihi).

 

4.Wakati wa kusujudi. Hii ni dua inayoomwa wakati mtu akiwa amesujudi, dua hii pia ni yenye kujibiwa. Amesimulia Abuuhurairah Ø±Ø¶Ù‰Ø§Ù„له Ø¹Ù†Ù‡ kuwa Mtume ØµÙ„ّي Ø§Ù„له Ø¹Ù„يه ÙˆØ³Ù„ّم amesema “muda ambao mja anakuwa karibu zaidi na Mola wake ni pale akiwa amesujudi. Basi zidisheni dua (muda huu) na uweni na uhakika kuwa mtajibiwa. (amepokea Muslim na Daud).

 

5.Muda wa kukutana majeshi kwenye jihad, muda wa kunyesha kwa mvua, muda wa kukimiwa kwa swala na na muda wa kuiona alkaba. Amepokea Abuu Umamah Ø±Ø¶Ù‰Ø§Ù„له Ø¹Ù†Ù‡ kuwa Mtume ØµÙ„ّي Ø§Ù„له Ø¹Ù„يه ÙˆØ³Ù„ّم amesema: “hufunguliwa milango ya mbinguni na hujibiwa dua katika maeneo manne (nyakati): muda wa kukutana safu katika jihadi, muda wa kunyesha kwa mvua, muda wa kukimiwa kwa swala na muda wa kuiona alkaba”. (amepokea Tabrany).
 

 

6.Siku ya ijumaa. Siku ya ijumaa kuna muda ambao dua hujibiwa bila ya tatizo. Muda huu ni mchache sana na hakuna anaoujua. Zipo riwaya nyingi sana zinataja muda huu. Ila kuna riwaya zinaonesha muda huu ni baada ya swala ya al-’asr mpaka magharib. Ila ukweli ni kuwa muda huu ni mchache sana na haujulikani, jambo la msingi ni kujitahidi kumuomba Allah siku ya ijumaa yote huenda muda huo ukaupata.





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: Sunnah Main: Post File: Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1498


Sponsored links
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Simulizi za Hadithi Audio     👉4 Kitau cha Fiqh     👉5 Madrasa kiganjani     👉6 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-

Uandishi wa hadithi wakati wa Matabii tabiina (tabiitabiina)
Hii ni historia ya uandishi wa hadithi wakati wa tabii tabiina. Yaani wafuasi wa wale wafuasi wa Masahaba Soma Zaidi...

ADABU ZA KUOMBA DUA
ADABU ZA KUOMBA DUA. Soma Zaidi...

HALI AMBAZO MTU AKIOMBA DUA HUJIBIWA
HALI AMBAZO MTU AKIOMBA DUA ITAJIBIWA. Soma Zaidi...

Mafunzo ya hadithi zilizochaguliwa
Sunnah na hadithi (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

DUA 21 - 31
21. Soma Zaidi...

MAANA YA HADITHI SUNNAH
Maana ya SunnahKilugha: Neno sunnah katika lugha ya Kiarabu lina maana ya mwenendo au mila. Soma Zaidi...

Dua za kuomba wakati unapokuwa na hasira ama ukiwa umekasirika
Post hii itakueleza ni dua gani unatakiwa uzisome wakati unapokiwa na hasira ama pale unapokasirika. Soma Zaidi...

Masomo ya Dua na Faida zake Dua
Soma Dua mbalimbali hapa, Soma Zaidi...

Hadithi Ya 40: Kuwa Duniani Kama Vile Mgeni Au Mpita Njia
Soma Zaidi...

Hadithi Ya 30: Allaah Amefaridhisha Mambo Ya Dini Tusiyapuuze
Soma Zaidi...

Hadithi Ya 35: Msioneane Choyo, Msizidishiane Bei, Msichukiane
Soma Zaidi...

Faida za swala ya Mtume
Hapa utajifunza fadhila za kumswalia Mtume (s.a.w) Soma Zaidi...