Nikila tumbo linauma, mdomo mchungu, matiti yanauma na hedhi sijapata, je ni dalili za mimba?

Mdomo kuwa mchungu ni halia mabayo haiashirii ishara mbaya za kiafya. Mdomo unaweza kuwa mchungu kutokana na vyakula. Pia hutokea ikawa ni ishara ya baadhi ya maradhi, ama ni matokeo ya baadhi ya shda za kiafya. Je vipi kuhusu maumivu ya matiti na tumb?

Swali:

Nikila tumbo linauma, mdomo mchungu, matiti yanauma na hedhi sijapata, je ni dalili za mimba?

 

Jibu:

Maumivu ya tumbo baada ya kula upo uwezekano husababishwa na aina ya chakula ulichokula, pia inawezekana gesi tumboni, eisha ilisha kuwepo hivyo baada ya kula ikaongezeka, ama chakula ulichokula kina gesi sana.

 

Maumivu ya matiti inaweza kuwa kweli ni dalili ya ujauzito. Hata hivyo mabadiliko ya homonikwa mwanamke yanaweza pia kuashiria kwa kutokea kwa maumivu ya matiti. Infection ya bakteria inaweza pia kuleta hali kama hii. Fika kituo cha afya kupata vipimo zaidi.

 

Kukosa hedhi ni moja ya dalili ambazo wanawake wengi hudhani kuwa ni wajawazito pindi wanapokosa hedhi. Itambulike kuwa kukosa hedhi kunaweza kusababishwa na mabo mengi sana kama:-

1. Mabadiliko ya homoni

2. Ujauzito

3. Vyakula

4. Shughuli za kila siku

5. Mabadiliko ya hali ya hewa

6. Umri

7. Saikolojia kubadilika kutokana na misongo ya mawazo

8. maradhi kama PID

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2021/11/27/Saturday - 09:14:03 am     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1599

Post zifazofanana:-

Zijue Dalili za hatari kwa Mama mjamzito
Posti hii inahusu zaidi dalili za hatari kwa Mama mjamzito, ni Dalili ambazo ujitokeza kwa Mama mjamzito, hizi Dalili zisipofanyiwa kazi mapema zinaweza kuleta shida kwa Mama kwa hiyo jamii nzima inapaswa kujua Dalili hizi na kuchukua hatua endapo zitajio Soma Zaidi...

Wajibu wa mjamzito katika utaratibu wa uleaji wa mimba
Posti hii inahusu zaidi wajibu wa Mama mjamzito katika kileo mimba sio yeye tu Bali na wote waliomzunguka wanapaswa kuhakikisha kuwa mama mjamzito anapaswa kufanyiwa huduma zote Ili kuweza kujifungua salama na bila shida yoyote. Soma Zaidi...

Dalili za minyoo
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za minyoo Soma Zaidi...

Dalili za ugonjwa wa kisonono
Kisonono ni ugonjwa unaosababishwa na bakteria wa zinaa ambao wanaweza kuwaambukiza wanaume na wanawake. Kisonono mara nyingi huathiri urethra, puru au koo. Kwa wanawake, ugonjwa wa kisonono unaweza pia kuambukiza kizazi. Soma Zaidi...

Mambo ya kuzingatia unapokuwa unatoa huduma ya kwanza
Huduma ya kwanza ni huduma inayotolewa kwa mtu yeyote aliyepata ajali au mgonjwa yeyote kabla hajapelekwa hospitalini Soma Zaidi...

Tofauti kati ya zakat na sadaqat
Nguzo za Imani, tofauti kati ya sadaqat na zakat (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

Dalili za VVU
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za VVU Soma Zaidi...

Faida za Uzazi wa mpango
Posti hii inazungumzia Faida za Uzazi wa mpango kwa watoto, mama, wanandoa, na jamii au JUMUIYA. Soma Zaidi...

Sababu za kutokubalika kwa vitabu vilivyotumwa kuwa muongozo sahihi wa maisha ya mwanadamu zama hizi
Soma Zaidi...

faida za tendo ka ndoa wakati wa ujauzito
Kufanya tendo la ndoa wakati wa ujauzito kina faida nyingi kwa mama na mtoto. Miongni mwa faida hizo ni kuimarisha mfumo wa kinga wa mama, kumuondolea stress na ukuajinmzuri wa mimba Soma Zaidi...

Hadithi ya mzee wa tatu na mbwa wake mwekundu
Posti hii inakwenda kukuletea hadithi za alifu lela ulela Soma Zaidi...

Mambo yanayoathiri Uponyaji was jeraha.
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Mambo yanayoweza kuadhiri Uponyaji wa jeraha.jeraha huleta maumivu makali sana, vilevile Uvimbe, kutoa usaha. Pia jeraha hutofautiana katika kupona kwa mtu mzima na Mtoto. Soma Zaidi...