picha

NIMLAUM NANI? (Sehemu ya pili)

Post hii ni mwendelezo wa hadithi iliyopita ambapo Frank aliwakuta Amina ambaye ni mpenzi wake ameumbatiana na James ambaye ni rafiki yake ,kwa hiyo tuendelee kusikia yaliyotokea baada ya Amina na James kukutwa na Franki.

NIMLAUMU NANI.

1. Basi kwa kuwa frank siku zote alijiona mnyonge na ambaye alikuwa mstaarabu aliamua kufunga tena mlango na kuwaacha Amina na James wakiendelea na shughuli zao ila James aliumia sana kuona anamsaliti rafiki yake akaanza kumlaumu Amina na kumlalamikia kuhusu uhusiano wao kwa sababu Amina ndiye aliyemshawishi James.

 

 

 

 

 

2. Basi frank alipoendelea kuwaza kuhusu Amina na James ghafla simu  ikalia kutoka kwa yule dada aliyempa lift ,akamuuliza hali halisi na jinsi rafiki yake alivyomshauri lakini frank aliishia kuangua kilio kwenye simu ,yule dada aliumia sana akaamua kuendesha gari mpaka kwenye nyumba ya akina james akamkuta frank amekaa chini ya mti na akina James na Amina wamo ndani wakizozana na kulaumiana, basi yule dada akamsihi frank apande kwenye gari na akakubali wakaenda sehemu iliyotulia wakaongea.

 

 

 

 

 

3. Basi frank akamuuliza yule dada jina akamjibu na kusema kwamba anaitwa Amisa , ndipo frank akajaribu kumweleza kila kitu ila kwa uchungu mkali na kilio ila Amisa akamsihii ajitahidi basi frank akafanikiwa kumweleza kila kitu kilivyokuwa basi Amisa akamsihii frank ajitahidi na akahaidi kumsai dia kwa kila kitu atakachohitaji, basi Ili Amisa kumfurahisha Frank aliamua kumpeleka beach Ili afurahie na kupoteza mawazo, basi frank Ms Amisa wakaongozana mapaka beach.

 

 

 

 

 

4. Basi wakiwa huko beach Amisa alinunua kila kitu ambacho frank alihitaji na walifurahi na Amisa alifurahi kuona frank anapoteza mawazo, basi na akina James na Amina nao walifika pale beach wakiwa wameshikana mikono wakitembea ufukweni mwa bahari, basi katika pita pita zao Amina akamwona frank na Amisa wanakunywa na kula kwenye meza yao na kila kitu kilikuwepo ambacho kilivutia kwa macho.

 

 

 

 

5. Basi Amina akamwachia James mkono kwa nguvu na kuanza kumlalamikia na kusema wewe uliaribu penzi letu ona sasa frank  ana msichana mwingine wanakula na kunywa na wewe hauna hata miatano ya kununua soda, wakazozana hapo na James akamwambia Amina kwamba ni wewe uliyearibu urafiki wangu na James,hali haikuwa nzuri kila mtu akapitia Njia Yake ila macho ya Amina ni kuangalia Frank atapitia njia  ipi.

 

Itendelea

 

 

 

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu image Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Jamvini Main: Post File: Download PDF Views 2490

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Bongolite - Game zone - Play free game     👉2 web hosting     👉3 Dua za Mitume na Manabii     👉4 kitabu cha Simulizi     👉5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉6 Kitau cha Fiqh    

Post zinazofanana:

Mwendelezo wa hadithi ya vijana wawili

Posti hii inahusu zaidi hadithi ya vijana wawili ambapo mtihani unafika ila Jackie hakujiandaa alishutuliwa na marafiki zake baada ya kuona mwenendo wake haueleweki.

Soma Zaidi...
NIMLAUMU NANI (sehemu ya nne)

Post hii inahusu zaidi kijana Frank anayelazimishwa kuolewa na Amisa yeye hayuko tayari ila kwa sababu ya maisha kuwa magumu anaamua kulala na Amina na kumbebesha Mimba ya watoto mapacha.

Soma Zaidi...
Mwendelezo wa hadithi ya Binti mfalme (sehemu ya nne)

Posti hii inahusu zaidi mwendelezo wa hadithi ya Binti mfalme sehemu ya nne ni pale bibi anawachanganya kwa maneno yake yaani mke wa kwanza anaambiwa aandae malkia na mke mdogo atafute njia za kufanya kijana wake kuwa mfalme.

Soma Zaidi...
Hasara za wivu na kutokuwa wazi (sehemu ya 4)

Posti hii inaendelea kuelezea hasara za kuwepo kwa wivu na kutokuwa wazi katika, jamii inafikia wakati baba anapifahamu ukweli anawaita wazazi wawili na kuwaombeza kwa kuwa kimya baada ya kuona matatizo yaliyokuwa yanampata mtoto Lisa.

Soma Zaidi...
Ni nani kama mama

Nani kama mama? Hadithi hii itakufunza umuhimu wa kuwa muwazi kuhusu familia yako.

Soma Zaidi...
NIMLAUMU NANI (sehemu ya sita)

Post inahusu zaidi hadithi ya NIMLAUMU NANI ambayo ni sehemu ya sita, katika kipengele hiki tunaenda kumwona msichana Amina anapambana na hatimaye anafunga ndoa ya kiserikali na Frank

Soma Zaidi...