Post inahusu zaidi hadithi ya NIMLAUMU NANI ambayo ni sehemu ya sita, katika kipengele hiki tunaenda kumwona msichana Amina anapambana na hatimaye anafunga ndoa ya kiserikali na Frank
NIMLAUMU NANI (sehemu ya sita)
1. Baada ya Frank kupewa hospitali ya genetic ili awe daktari mkuu watu wengi waliumia hasa akina juma , Amina na James, juma aliumia kwa sababu alijua kwamba Frank ni kijana ambaye hana kazi, Amina aliumia kwa sababu aliachana na Frank kwa sababu ya umaskini wa Frank na pia James aliumia kwa sababu alikuwa akimdharau Frank kama mtu maskini na ukizingatia alimyanganya msichana wake na kumbandikiza Frank kesi ya kusababisha ajali ya Amina, kwa sababu baba Amina alimpenda sana Frank na akataka amwoe binti yake Amina ila hakusema moja kwa moja ila alitamani sana.
2. Kwa sababu Amina alikuwa msichana mmoja mpambanaji na alikuwa hapendi kushindwa kwa hiyo akaamua kwenda shule , kwa sababu alikuwa amemaliza kidato cha nne na matokeo yake yalikuwa mazuri ila tatizo lake alikuwa hajatulia akaenda kusoma kwa miaka miwili na akaweza kuwa msaidizi wa dakitari wa genetic ambaye ndiye Frank, kwa hiyo Amina akaanza kufanya kazi kwenye hospitali ya baba yake na kila siku Frank anapokuwa lazima afuaatane naye tu hali ambayo ilimfanya hata na Amisa kujua tatizo hilo ila Frank hakuwa na mda naye, kwa hiyo baba Amina alipoona kwamba Amina bado anampenda sana Frank alifurahi sana, siku moja Baba Amina akaamuru kumwita Amina Ili waweze kuongea kwa karibu.
3.ilikuwa ni asubuhi nzuri yenye hali ya hewa inayovutia baba Amina akiwa na kikombe cha kahawa kwa sababu alizipenda mno , akamwita mwanae mpendwa Amina na kumwambia kwamba yeye umri umekwenda kwa hiyo Amina anapaswa kusimamia miradi ya baba yake na pia akamwambia angependa kuona Amina ana mwanaume ambaye ana ujuzi wa genetic wakaweza kufanya kazi pamoja,kwa hiyo baba Amina akasema nimekupa mwezi mmoja utaniletea jibu na sharti la kwanza unapaswa kuwa na mme anayejua mambo ya genetic ili kuweza kuridhi miradi ya Baba yake, kwa sababu Amina alikuwa anapenda sana hela akaanza kumshawishi Frank ili waoane na waweze kurithi ile hospitali kwa sababu na Frank alikuwa anapenda sana hela ila alimkumbuka mke wake Amisa na kuanza kulia.
4. Basi na siku nyingine baba Amina alimwita Frank na kumwambia kwamba angependa kumkabidhi mali yake na sharti kuu ni lazima kufunga ndoa na Amisa , Frank aliumia sana na kumkumbuka mke wake mpenzi Amisa ,basi kwa kuwa Frank alikuwa mwungwana aliamua kumwambia mke wake kila kitu kinachoendelea kazini, Amisa alimshukuru sana mme wake kwa kumwambia na kumshirikisha mambo makubwa kama hayo, Amisa alimwambia mme wake aende kazini mimi nitapata cha kufanya, kwa hiyo mda huo Amisa alienda kwa rafiki yake Rhoda na kumwambia kila kitu, ila Rhoda akamwambia Amisa wamwite Frank na waanze kumpa maoni na wakawa na hamu ya kumiliki ile hospitali na miladi mingine.
5. Basi Frank akashauliwa kwamba anapaswa kujifanya kwamba ana uhusiano na Amina akiwa na lengo la kumwoa ila wakimaliza kusaini mikataba Frank anaweza kuendelea na kazi na hatimaye kumiliki ile hospitali na miladi mingine, basi siku iliyofuata Frank alimtumia Frank sms iliyokuwa ikisema njoo tuongee mpenzi wangu, Amina alifurahi sana kwa kuona sms ya mtu anayempenda, basi Frank akamwambia twende kwa mzee nitangaze uchumba Amisa akauliza kuhusu mmke wake Amisa huyo akamwambia usijali kwa sababu sijafunga naye ndoa na yeye ndiye aliyenilazimisha nioe kwa hiyo Amina aliamua kukimbia kwenda kwa baba kumpasha habari njema.
Itaendelea
Je! umeipenda hii post?
Ndio Hapana Save post
Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: Jamvini Main: Post File: Download PDF Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 948
Sponsored links
👉1 Simulizi za Hadithi Audio
👉2 kitabu cha Simulizi
👉3 Madrasa kiganjani
👉4 Kitau cha Fiqh
👉5 Kitabu cha Afya
👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
Mwendelezo wa hadithi ya Binti mfalme
Posti hii inahusu zaidi mwendelezo wa hadithi ya Binti mfalme, baada ya kijana wa kiume wa binti mfalme kuoa yule ndugu yake baba anafanya sherehe kubwa na wake wenza wamepata habari kwamba kijana wa kiume wa mfalme ameoa ndugu yake wakaamuru kunyamaza il Soma Zaidi...
USALITI (sehemu ya pili)
Post hii ni mwendelzo wa hadithi ya Usaliti kati ya Rhoda na Moses ambapo Moses anampenda sana Rhoda na wakati wa kuoa umefika ila akagikilia kwamba akimuoa Rhoda inawezekana wasipate watoto kwa sababu ya mimba ambazo Rhoda alikuwa anatoa mara kwa mara. Soma Zaidi...
NIMLAUMU NANI ( sehemu ya tatu)
Post hii inahusu mwendelezo wa hadithi ya kijana Frank na Amisa pia na wapenzi wawili ambao ni James na Amina. Soma Zaidi...
Mwendelezo wa hadithi ya vijana wawili
Posti hii inahusu zaidi hadithi ya vijana wawili ambapo mtihani unafika ila Jackie hakujiandaa alishutuliwa na marafiki zake baada ya kuona mwenendo wake haueleweki. Soma Zaidi...
Hadithi hii inahusu hasara za wivu na kutokuwa wazi
Posti hii inahusu zaidi hasara za wivu, kwa sababu ya kuwepo kwa marafiki wasio waaminifu wanasababisha kuharibiana maisha bila kujua kwa sababu ya kuonekana wivu na kutokuwa wazi. Soma Zaidi...
Hadithi ya Mama mchoyo na mwehu
Posti hii inahusu zaidi habari za Mama mmoja aliyekuwa mchoyo akampa mkate mwehu na kuutia Sumu ila kwa sababu mwehu alikuwa mkarimu sana aliutunza mkate na kuwapatia watoto wa yule mama waliokuwa wakitoka shule na njaa kali Soma Zaidi...
WAKATI WA KUFUMBUKA
Post hii ni mwendelezo wa hadithi inayohusu Kufumbuka ambapo , John anaonekana kama sio mtoto wa Mzee maganga kwa sababu na miungu imekili kwa sababu chakula chote kimeliwa na kuisha. Soma Zaidi...
WAKATI WA KUFUMBUKA SEHEMU YA 2
Post hii ni mwendelezo wa hadithi ambayo Kwa jina inaitwa wakati wa Kufumbuka, ni mwendelezo wa pale maria anawekwa mbele ya wazee Ili akili kwamba John sio mtoto wa Mzee maganga ila maria akikumbuka wazi kwamba John ni mtoto wa Mzee maganga anakataa kuki Soma Zaidi...
Mtoto wa tajiri na mtoto wa maskini ( sehemu ya tatu)
Post hii inahusu zaidi mtoto wa tajiri na mtoto wa maskini wakipanda gari kuelekea shule kuanza maisha mapya. Soma Zaidi...
Mwendelezo wa hadithi ya Mama mchoyo na mwehu
Posti hii inahusu zaidi mwendelezo wa hadithi ya Mama mchoyo na mwehu, kwa sababu mwehu alikuwa mkarimu alichukua ule mkate akawapstia watoto wa yule mama wakiwa wanatoka shule kwa hiyo tutaona kilichotokea kwa wale watoto. Soma Zaidi...
WAKATI WA KUFUMBUKA SEHEMU YA 1
Post hii inahusu zaidi hadithi mpya na nzuri inayoitwa wakati wa Kufumbuka, ni hadithi inayohusu maisha ya kawaida ambapo watu ushindwa kudhamini watu wa karibu nao na kuona watu wa mbali ndio wenye maana ila shida zikifika ndipo wanaona umuhimu wao. Soma Zaidi...
NIMLAUMU NANI ( sehemu ya tano)
Post hii inahusu mwendelezo wa hadithi ya Nimlaumu nani ambapo juma anapanga na madaktari wanaopima DNA ili kuweza kutambua kwamba mtu mimba ni ya kwake na sio ya Frank kwa hiyo tuendelee kusikiliza mpaka tutakapoona mimba itakuwa ya Frank au juma. Soma Zaidi...