NINATATIZO LA MIGUU KUUMA NIMEPIMA WANASEMA SELI NYEUPE ZA DAMU IPO CHINI SANA SASA NAULIZA DAWA HIZI ZA VITAMIN K NA SINDANO VINAWEZA NISAIDIA?


image


Upungufu wa damu ni tatizo la kiafya, lakini kupunguwa seli nyeupe za damu ni tatizo zaidi, nikwa sabaabu seli hizi ndizo ambazo hupambana na wadudu shambulizi wanapoingia mwilini.


Swali: 

Samahani naomba niulize kwamba ninatatizo la miguu kuuma nimepima wanasema seli nyeupe za damu ipo chini Sana sasa nauliza dawa hizi za vitamin k na sindano vinaweza nisaidia?

 

Jibu: 

✍️ Dawa za vitamini K haziwezi kukuongezea seli nyeupe. Dawa hizi zitasaidia endapo una upotevu wa damu kupitia majeraha. Ama kama una tatizo la damu kuchelewa kuganda. 

 

✍️ Fika kituo cha afya kupata msaada zaidi juu ya hali yako. 

 



Sponsored Posts


  👉    1 Mafunzo ya html kwa kiswahili       👉    2 Madrasa kiganjani       👉    3 Jifunze fiqh       👉    4 Hadiythi za alif lela u lela       👉    5 Mafunzo ya php       👉    6 Magonjwa na afya    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Mabadiliko kwa wavulana wakati wa kubarehe
Post hii inahusu zaidi mabadiliko kwa wavulana wakati wa kubarehe, ni kipindi ambacho ni kutoka utotoni kwendea ujana. Soma Zaidi...

image Hatua mbili kuu za kushuka kwa Quran
Quran (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Je, utamsaidia vipi mtu aliyeumwa na nyuki?
Posti hii inazungumzia kuhusiana na kumsaidia mwenye aliyeumwa na nyuki.nyuki na wadudu ambao wakikushambulia Sana na ukikosa msaada unaweza kufa au kuwa katika Hali mbaya. Soma Zaidi...

image Ukweli kuhusu njia za uzazi wa mpango.
Posti hii inahusu zaidi ukweli kuhusu njia za uzazi wa mpango, sio kwa imani potofu ambazo Watu utumia kuelezea uzazi wa mpango. Soma Zaidi...

image Madhara ya Tiba mionzi
Post hii inahusu zaidi madhara ya Tiba mionzi kwa wagonjwa wa saratani, ni madhara yanayotokea kwa wagonjwa wanaotumia mionzi katika matibabu ya saratani. Soma Zaidi...

image Vyakula murajabu kea mwenye presha ya kushuka
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula murajabu kea mwenye presha ya kushuka Soma Zaidi...

image Namna ya kusaidia vijana wakati wa kubarehe
Post hii inahusu zaidi namna ya kuwasaidia vijana wakati wa kubarehe, ni njia za kuhakikisha kuwa vijana wanakuwa na mwelekeo , Soma Zaidi...

image Kifuwa kinaniuma katikati kinaambatana nakichwa
Maumivu ya kifuwa yanaweza kutokea baada ya kubeba kitu kizito, ama kupata mashambulizi ya vijidudu vya maradhi. maumivu ya viungo na hata vidonda vya tumbo. Lakini sasa umesha wahi fikiria maumivu ya kifuwa kwa katikati? Soma Zaidi...

image Ujue Ugonjwa wa homa ya ini yenye sumu.
Homa ya ini yenye sumu ni kuvimba kwa ini lako kutokana na kuathiriwa na vitu fulani ambavyo umeathiriwa navyo. Homa ya ini yenye sumu inaweza kusababishwa na pombe, kemikali, dawa za kulevya au viongeza vya lishe. Soma Zaidi...

image Imani potofu juu ya ugonjwa wa Ukimwi.
Posti hii inahusu zaidi imani potofu juu ya ugonjwa wa Ukimwi,ni Imani walizonazo watu wengi kuhusiana na ugonjwa wa Ukimwi. Soma Zaidi...