Nini husababisha upungufu wa nguvu za kiume

Post hii itakujulidha mambo ambayo hupunguza nguvu za kiume

NINI HUSABABISHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

 

Sababu za tatizo hili:

 

1. Kuwa na maradhi ya moyo

2. Kuziba kwa mishipa ya damu (atherosclerosis)

3. Kuwa na mafuta mengi mwilini (high cholesterol)

4. Kuwa na presha ya kupanda (high blood pressure)

5. Kisukari

6. Matumizi ya baadhi ya madawa

7. Uvutaji wa sigara

8. Maradhi kwenye uume kama peyronie

9. Unywaji wa pombe

10. Utumiaji wa madawa ya kulevya

11. Matibabu ya saratani ya korodani

12. Upasuaji katika maeneo nyeti au ugwe mgongo

13. Kuwa na mdongo wa mawazo ama woga

14. Mahusiano yasiyo mazuri

15. Kuwa na uzito kupitilizaJe! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2023/08/07/Monday - 12:24:01 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 984


Download our Apps
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-