image

Nini hutokea unapokuwa kwenye ndoto ukiwa usingizini umelala

Ndoto ni moja ya mamba ambayo yanatokea mwanadamu na sayansi haina uelewa hasa nini hutokea. Hata hivyo yapo machache tafiti za kisayansi zinatueleza.

Kuhusu ndoto,  tafiti za kisayansi zinasema kuwa: 

πŸ‘Œ Ubongo umegawanyika katika sehemu tatu wakati unapokuwa umelala usingizi na ukaanza kuota ndoto. 

 

😴 Sehemu ya kwanza kutengeneza stori, mara nyingi stori hizi hutokana na maisha ya kawaida kama kusikia,  kuona mwenyewe,  kuhisi ama kujuwa,  na hata kutamani. 

 

πŸ˜‹Sehemu nyingine ya ubongo huwa ni muhusika wa hiyo ndoto. Sehemu hii huleta furaha ma watoto ni mpya kufurahisha,  na hutishika,  huhuzunika,  hushangaa na zaidi. 

 

πŸ˜‚ Ni sawa na kusema kama sehemu moja ya ubongo inasimulia na nyingine inasikiliza. Kwahiyo sehemu hizi mbili zinashirikiana. 

 

😁 Sehemu ya tatu ni sehemu inayohusika na kufikiri na kutenda. Sehemu hii wakati upo kwenye ndoto inakuwa imelala yaani haipo kazini. 





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 596


Sponsored links
πŸ‘‰1 Kitau cha Fiqh     πŸ‘‰2 Kitabu cha Afya     πŸ‘‰3 kitabu cha Simulizi     πŸ‘‰4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-

MAGONJWA HATARI YA MOYO NA NAMNA YA KUKABILIANA NAYO: PRESHA, SHINIKIZO LA MOYO NA SHAMBULIO LA MOYO
Soma Zaidi...

YANAYOATHIRI AFYA KUTOKANA NA VIZAZI, FAMILIA NA KURITHI
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote Soma Zaidi...

Dondoo za afya 41-60
Somo Hili linakwenda kukuletea dondoo mbalimbali za afya Soma Zaidi...

Mambo yanayohitajika kabla ya kuanza upasuaji
Posti hii inahusu zaidi mambo yanayohitajika kabla ya kuanza upasuaji ni mambo muhimu ambayo yanapaswa kufanyika kwanza na baadaye upasuaji unaweza kuendelea. Soma Zaidi...

KITABU CHA MATUNDA
Jifunze sifa na aina za matunda, vijuwe viruturubisho Soma Zaidi...

Fahamu mtindo mzuri wa maisha
Postei hizi inahusu zaidi mtindo mzuri wa maisha, yaani mtu ale ki vipi au afanyeni nini ili kuweza kuboresha afya yake. Soma Zaidi...

ZIJUWE NYANJA KUU 6 ZA AFYA
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote Soma Zaidi...

MZUNGURUKO WA DAMU
6. Soma Zaidi...

ilinde Afya yako
Hiki ni kitabu kilichosheheni masomo zaidi kuhusu Afya yako, vyakula pamoja na maradhi sugu. Soma Zaidi...

Dhana ya uzazi wa mpango na historia yake duniani
Soma Zaidi...

AFYA NA MAGONJWA
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote Soma Zaidi...

Dondoo za afya 1-20
Somo Hili linakwenda kukuletea dondoo mbalimbali za afya Soma Zaidi...