Hapa utajifunza maana ya iqlab katika usomaji wa Quran kwa tajwid
الإقْلاَبْ AL-IQLAAB - KUGEUZA.
Maana yake ni kugeuza kitu na kinavyotakiwa kuwa au kupindua kitu. Katika hukmu za Tajwiyd ni kuigeuza nuwn saakinah au tanwiyn kwa kuitamka kama ni م (miym) pamoja na kuleta ghunnah.. (www.alhidaayah.com).
Hukumu hii inapatikana pale tu nun sakina au tanwiyn inapokutana na ب (baa) tu. Hivyo herufi ya iqlab ni moja tu.
Umeionaje Makala hii.. ?
Post hii itakufundisha fadhila na faida za kusoma surat al Imran
Soma Zaidi...Laam al- maarifa inaweza kusomwa kwa idgham au idh-har pindibitakapokutana na herufi za shamsiya au qamariya.
Soma Zaidi...Ni zipi hizo herufi saba, na ni vipi viraa saba katika usomaji wa Quran
Soma Zaidi...Quran (EDK form 3:dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...Sura hii inaonya vikali tabia ya kusengenya na kusambaza habari za uongo. Wameonywa vikali wenye tabia ya kujisifu kwa mali, kukusanya mali bila ya kuitolea zaka.
Soma Zaidi...