image

Nini sababu ya kuchubuka midomo na kuwa myeupe

Kama una tatizo la midomo kuchubuka na kuwa myeupe ama kuwa na vidonda. Post hii inakwenda kuangalia swala hili.

Hey habar samahani nimeona Google jinsi ulivyo elezea vitamini B. Mm midomo yangu huu wa chini ina weupe kama imebabuka nakosa confidence kabisa siwez toka bila rangi ya mdomo itakuwa upungufu huo wa vitaminiB? 

 

Haloo, pole sana kwa tatizo hilo. Tatizo hilo linaweza kusababishwa na hali nyingi za kiafya. Kwa mfano: 

1. Upungufu wa vitamini. Vitamini C kwa B kwa pamoja huwenda ikawa sababu hiyo. Mfano mzuri ni kwamba endapo utakuwa na vidonda kwenye midomo vitamini hvi vinaweza kuwa sababu. 

 

2. Fangasi,  yes inaweza kuwa ni dalili ya fangasi kwenye midomo. Hata hivyo angalia kwanza ulimi kma umebadilika rangi kuwa nyeupe huwenda ni fangasi. 

 

3. Matumizi ya dawa kwa muda mrefu. Huenda ikasababishwa na matumizi ya baadhi ya dawa kwa muda mrefu. 

 





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1615


Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-

Dalili na namna ya kujizuia na malaria
Postii hii inshusiana na dalili na ishara za kujikinga au kuzuia malaria kwa Njia mbalimbali. Soma Zaidi...

Fahamu Ugonjwa unaosababisha madhara kwenye mapafu
Posti hii inaelezea kuhusiana na Magonjwa yanayosababisha madhara kwenye mapafu na kitaalamu hujulikana Ugonjwa wa Acute Respiratory Distress Syndrome (ARDS) hutokea wakati Majimaji yanapojaa kwenye vifuko vidogo vya hewa nyororo (alveoli) kwenye mapafu Soma Zaidi...

Dalili za sukari kupungua mwilini (Hypoglycemia)
sukari kupungua mwilini (Hypoglycemia) huhusishwa kwa kawaida na matibabu ya Kisukari. Hata hivyo, hali mbalimbali, nyingi zikiwa nadra, zinaweza kusababisha sukari ya chini ya damu kwa watu wasio na Kisukari. Kama vile Homa, Hy Soma Zaidi...

Fangasi aina ya Candida
Huu ni ugonjwa wa fangasi wanaosababishwa na mashambulizi ya fangani aia ya yeast waitwao candida. Soma Zaidi...

Minyoo na athari zao kiafya
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu minyoo na athari zao kiafya Soma Zaidi...

Yajue mashambulizi ya bacteria kwenye Ngozi (cellulitis)
Mashambulizi ya bacteria kwenye Ngozi hujitokeza sehemu yenye jeraha pia huonyesha wekundu wenye upele,Uvimbe na malengelenge. Soma Zaidi...

Sababu za miguu kufa ganzi.
Posti hii inahusu zaidi sababu mbalimbali,za miguu kufa ganzi,ni tatizo ambalo uwakumba watu wengi na walio wengi hawafahamu kabisa ni sababu zipi ambazo uleta tatizo hili. Soma Zaidi...

Dalili za ugonjwa wa Bawasili
Posti hii inahusu zaidi dalili za ugonjwa wa Bawasili, ni Dalili ambazo ujitokeza kwa mgonjwa ambaye ana ugonjwa wa Bawasili. Soma Zaidi...

Namna madonda koo yanavyotokea
Posti hii inahusu namna madonda koo yanavyotokea, ni jinsi na namna Magonjwa haya au Maambukizi yanavyotokea na kuweza kusababisha madhara kwa watu. Soma Zaidi...

Dawa za kutuliza maumivu na kazi zake
Post hii inahusu zaidi dawa za kupunguza maumivu na kazi zake, ni dawa ambazo upunguza maumivu kwenye mwili wa binadamu. Soma Zaidi...

Ugonjwa wa kuporomoka kwa mapafu (pneumothorax)
Posti hii inazungumzia Ugonjwa wa mapafu ambao hujulikana Kama pafu lililoporomoka (Pneumothorax) hutokea wakati hewa inavuja kwenye nafasi kati ya mapafu yako na ukuta wa kifua. Hewa hii hutoka nje ya pafu lako. Ugonjwa huu unaweza kusababishwa na jera Soma Zaidi...

Visababishi vya maambukizi kwenye milija na ovari
Posti hii inahusu zaidi visababishi vya maambukizi kwenye milija na, ni mambo yanayosababisha maambukizi kwenye milija na ovari. Soma Zaidi...