Posti hii inahusu zaidi namna ya kuangalia sehemu yenye maumivu, hili kugundua mahali mtu anaumia ushirikiano mkubwa unahitajika kati ya mgonjwa na mhudumu.
Njia za kuangalia sehemu zenye maumivu.
1. Kwanza kabisa tunapaswa kujua kuwa kama mtu ana maumivu makali ni vigumu kutambua maumivu yako wapi kwa sababu anahisi mwili wote una maumivu kwa hiyo tunapaswa kutumia njia zifuatazo ili kuweza kutambua sehemu yenye maumivu.
2. Kumuuliza mgonjwa sehemu anapohisi anaumia zaidi au kama maumivu yanakuwa sehemu ipi zaidi, pia muuulize kama yanakiwepo kwa mda mrefu au kwa wakati wote, pia muuulize akitumia dawa ya maumivu ni sehemu ipi huwa inachelewa au inakuwa ya mwisho kutulia au maumivu yakianza ni sehemu ipi huwa inaanza kuhisi maumivu katika kujibu maswali hayo utagundua mara moja sehemu yenye matatizo.
3. Unaweza kumuuliza mgonjwa juwa maumivu yakianza lini na yalianzaje? Au unaweza kuuliza kubwa ni mara ya kwanza hayo Maumivu kuwepo au ni kawaida yake pia ni vizuri kuuliza kama hayo Maumivu yanasababisha kukosea kwa usingizi au unashindwa kufanya kazi nyingine yakitokea baada ya kupata majibu ya maswali haya utaweza kuona jinsi Mgonjwa anavyoangaika na kumwonyesha cha kufanya.
4. Pia unaweza kumuuliza maswali kama haya kwamba iwapo maumivu yanatokea yanachukua mda gani? Na wakati ya akianza yanaanzaje na yanaishaje na yanafanya Mgonjwa aweze kubadilika tabia.
5. Pia mgonjwa anaweza kuulizwa kama maumivu yanakuwa kwenye mfumo gani uanachama choma au yanakuja kwa ghafla na yanaondoka kwa kufanya hivyo mnaweza kujua aina ya maumivu.
6.Baada ya kujua aina ya maumivu na kujua kiwango cha maumivu tunapaswa kuwasaidia wagonjwa walio kwenye maumivu makali na kuwafanya waweze kujisikia vizuri na kuwapatia dawa zinazowafanya wapone maumivu
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii inaelezea kuhusiana naรย Sarataniรย ya tishu zinazounda damu mwilini, ikijumuisha uboho na mfumo wa limfu.ugonjwa huu kitaalamu huitwa leukemia.
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kujibu swali linalosema je ni bakteria aina gani husababisha igonjwa wa pumu.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu faida za bamia mwilini
Soma Zaidi...Maumivu ya magoti ni malalamiko ya kawaida ambayo huathiri watu wa umri wote. Maumivu ya goti yanaweza kuwa matokeo ya jeraha, kama vile ligament iliyopasuka au cartilage iliyochanika.
Soma Zaidi...Mngurumo wa moyo ni sauti wakati wa mzunguko wa mapigo ya moyo wako kama vile kutetemeka inayotolewa na damu yenye msukosuko ndani au karibu na moyo wako. Sauti hizi zinaweza kusikika na kifaa kinachojulikana kama stethoscope. Mapigo ya moyo ya kawaida
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi njia za kuzuia Ugonjwa wa kaswende, tunajua wazi kuwa Ugonjwa huu unasambaa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine kwa njia ya kufanya ngono zembe na njia nyingine kwa hiyo tunaweza kuzuia kusambaa na kuenea kwa ugonjwa huu kwa n
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza baadhi ya njia za kuzuia kiungulia
Soma Zaidi...HATUA ZA KUJIKINGA NA VIDONDA VYA TUMBO Unaweza kupunguza hatari yako ya vidonda vya tumbo ikiwa unafuata mikakati sawa inayopendekezwa kama tiba ya nyumbani kutibu vidonda.
Soma Zaidi...