Njia za kugundua kama mtoto amevunjika baada ya kuzaliwa

Njia za kugundua kama mtoto amevunjika baada ya kuzaliwa

Post hii inahusu zaidi njia mbalimbali ambazo mtoa huduma anaweza kuzitumia kuangalia kama mtoto amevunjika baada ya kuzaliwa.

Njia za kugundua kama mtoto amevunjika baada ya kuzaliwa.

1. Tunafahamu kabisa kwamba mtoto mdogo hawezi kujieleza chochote ila njia yake kuu ni kulia tu inawezekana kabisa mtoto kavunjika ila haujui kavunjika wapi kwa hiyo kitu cha kwanza kabisa ni kuangalia sehemu zote kuanzia kichwani hadi miguuni ili kuweza kujua kama mtoto yuko salama au kwa wakati mwingine unapaswa kugusa kiungo kimoja hadi kingine hasa hasa kama mtoto amepata shida wakati wa kuzaliwa hapo utaweza kugundua mapema kwa sababu utakapomgusa mtoto akalia ni hapo hapo unapaswa kupaangalia kwa karibu zaidi.

 

2. Kuna sehemu nyingine sio rahisi kuzigundua mara moja mpaka mtoto afikishe masaa sabini na mbili ambapo ni sawa na siku tatu, hapa kwa wamama waliowengi wanakuwa wameshauri nyumbani kwa hiyo mtoa huduma anapaswa kumwelekeza Mama namna ya kumwangalia mtoto wake na kuhakikisha kwamba ikiwa amepata shida arudishwe hospitalini mara moja.

 

3. Kuna sehemu nyingine kama zimevunjika kupona huwa zinatumia siku chache au nyingine siku nyingi kwa mfano kwenye sehemu ya kiuno utumia masaa sabini na mawili kupona na kwenye sehemu nyingine utmia wiki mbili au tatu.

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Uzazi Main: Post File: Download PDF Views: 2076

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 ai web app     👉2 Bongolite - Game zone - Play free game     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉5 kitabu cha Simulizi     👉6 Kitabu cha Afya    

Post zinazofanana:

Mbinu za kupunguza Kichefuchefu

Point hii inahusu zaidi mbinu za kupunguza Kichefuchefu hasa kwa wagonjwa na watumiaji wa madawa mbalimbali yanayoweza kusababisha kichefuchefu.

Soma Zaidi...
utaratibu wa lishe kwa Mjamzito, Vyakula anavyopasa kula mjamzito

Ni vyakula gani anapasa kula mjamzito, na utaratibu mzima wa lishe kwa wajawazito

Soma Zaidi...
Jinsi ya kupata mtoto wa kiume

Post hii inakwenda kukufundisha kuhusu nadharia ya kupata mtoto wa kiume.

Soma Zaidi...
Sababu za kutoona hedhi kwa wakati

Posti hii inahusu zaidi sababu za kukosa hedhi wakati mda wa kuona hedhi umefika ni tatizo linalowasumbua baadhi ya wasichana wachache katika jamii na hii ni kwa sababu zifuatazo.

Soma Zaidi...
Madhara ya kutoka kwa mimba

Post hii inahusu zaidi madhara ya kutoka kwa mimba, kwa kawaida tunafahamu kwamba mimba ikitungwa na mwili mzima huwa na wajibu wa kutunza kilichotungwa kwa hiyo ikitokea mimba ikatoka usababisha madhara yafuatayo.

Soma Zaidi...
Maumivu ya tumbo kwa chini upande wa kulia

Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za maumivu ya tumbo chini upande wa kulia

Soma Zaidi...