Posti hii inahusu zaidi njia za kuzuia ugumba, ni njia ambazo utumiwa na wapenzi ambao wameshindwa kupata watoto hasa kwa wale ambao wamezaliwa wakiwa na uwezo wa kupata watoto lakini kwa sababu tofauti tofauti wanashindwa kupata watoto kwa hiyo njia zifu
Njia za kuzuia ugumba.
1. Elimu ya afya ya uzazi itolewe.
atu wanatakiwa wapatiwe elimu juu ya afya ya uzazi, mambo yanayoathiri na njia za kuboresha. kwa mfao watu wafahamishwe vyakula vilivyo salama na vinavyotakiwa kwa wanandoa wanaotafuta ujauzito. Hivi ni vyakula mabvyo huboresha mfumo wa uzzi kwa mwanaume na mwanamke.'
2. Kutibu maambukizi.
Hili ni jambo la muhimu sana kwa wale ambao baada ya kufanya vipimo wanagundulika kuwa wana Maambukizi kwa hiyo baada ya kukaa mda mrefu bila kupata mtoto na kuwa na uhakika wa Maambukizi hasa yale yanayosababishwa na magonjwa ya zinaa ni lazima kutibiwa mara moja ili kuweza kupunguza tatizo hili la ugumba.
3. Kuepukana na madawa ya kulevya na uvutaji, unywaji wa pombe na uvutaji wa sigara, .
Katika tabia ya kutumia madawa ya kuzlevya kama vile malijuana, vileo vikali na aina yoyote ile ya bangi usababisha ugumba kwa hiyo tunapaswa kuwashauri ndugu zetu wanaotumia dawa hizo ili waweze kuacha na kuona matatuzo ya ugumba.
4. Kuepuka tabia ya kutoa mimba mara kwa mara. Tabia hii nayo usababisha ugumba kwa sababu kuna vijana wanaanza kutoa mimba katika umri mdogo na mara kwa mara na pengine kwa kutumia njia zisizofaa na kusababisha kizazi kulegea kwa hiyo inapofikia wakati wa kubeba mimba wanashindwa kupata mimba kwa sababu ya kuchokonoa kizazi kwa hiyo akina dada jilindeni na achana na tabia za kutoa mimba ni hatari sana.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za ujauzito baada ya tendo la ndoa
Soma Zaidi...Kama unapata maumivu wakati wa tendo la ndoa, suluhisho lako lipo kwenye makala hii
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za mimba katika mwezi was kwanza
Soma Zaidi...Katika post hii utajifunza ishara na dalili ninazoonyesha kuwa mimba ipo hatarini kutoka ama inaweza kuwa imeshatoka.
Soma Zaidi...Maumivu ya tumbo nakiuno kwa mwanamke yanahitaji uangalizi wakina. Kwani kuna sababu nyingi ambazo zinawezakuwa ni chanzo.
Soma Zaidi...Zipo siku maalumu ambazo mwanamke hupata mimba. Siku hizi huzoeleka kwa jina la siku hatari. Je ungependa kufahamu mengi kuhusu siku hatari, endelea na makala hii.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi Dalili za saratani kwa watoto, ni Dalili ambazo ujitokeza kwa watoto na ikiwa mlezi au mzazi akiziona tu anaweza kutambua mara moja kwamba hii ni saratani au la na kama bado ana wasiwasi anaweza kupata msaada zaidi kutoka kwa wataa
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi sababu za ugumba kwa wanawake, ni sababu ambazo upelekea wanawake wengi kuwa wagumba ukizingatia kuwa wanazaliwa wakiwa na uwezo kabisa wa kupata watoto lakini kwa sababu mbalimbali za kimazingira wanakoswa watoto, zifuatazo ni saba
Soma Zaidi...