Posti inahusu zaidi njia maalum za uzazi wa mpango kwa wanaonyonyesha,Ni njia za uzazi ambazo wanaonyesha wanatumia kwa sababu kuna njia nyingine zikitumiwa na wanaonyonyesha zinaweza kuleta matatizo kwa watoto au kusababisha maziwa kutokuwa na vitamini v
Njia za uzazi wa mpango kwa wanaonyonyesha.
1. Kwanza kabisa tunajua kuwa maziwa ya Mama yanapaswa kuwa na virutubisho vyote vinavyohitajika kuna wakati mwingine virutubisho hivyo vinaweza kupunguza kwa sababu mbalimbali kama vile madawa, aina ya vyakula na njia mbalimbali za uzazi wa mpango ili kuepuka tatizo hili wanawake wanaonyonyesha wanapaswa kutumia njia zifuatazo.
2.Matumizi ya kitanzini.
Hii njia utumiwa na wanawake wanaonyonyesha kwa sababu haingiliani na uzalishaji wa maziwa, kitanzi hiki kimetengenezwa na madini ya kopa na uwekwa kwenye mlango wa kizazi na kinaweza kukaa kwa mda wa miaka kumi na miwili, kwa hiyo uzuia mbegu za kiume kutokutana na mbegu za kike kwa hiyo mimba haiwezi kutungwa.
3.Pia wanaonyonyesha wanaweza kutumia njiti kwa sababu haingiliani na uzalishaji wa maziwa, huu njiti uwekwa mwilini juu ya mkono na uweza kuzuia mimba kwa kipindi cha miaka mitano, kwa hiyo kina homoni ambayo uzuia yai kupevuka kwa hiyo njia hizi inaweza kuwa na maudhi madogo madogo kama vile kutapika, kichefuchefu na kizungu Zungu na hivyo uisha kwenye miezi ya mwanzo na maisha uendelee kama kawaida.
4.Njia ya kutumia homoni ya progesterone peke yake iwe ya kuchoma au kutumia vidonge, hii ni njia ambayo uzuia yai lisipevuke na pia haingiliani na uzalishaji wa maziwa kwa hiyo mama anayenyonyesha anapaswa kutumia progesterone homoni peke yake asije akachanganya na oestrogen kwa sababu uingiliana na uzalishaji wa maziwa.
5.Pia Mama anaweza kutumia njia ya kunyonyesha kwa miezi sita ya mwanzoni baada ya hapo anaweza kutumia njia yoyote ya uzazi wa mpango, na pia kama familia haina mpango wa watoto wengine wanaweza kutumia njia ya kudumu ambapo wote wawili wanakata mirija inayosafirisha mbegu na yai kwa kufanya hivyo hawawezi kupata watoto tena, kwa hiyo hizi ndio njia pekee kwa wanaonyesha na pia kondomu inaweza kutumika.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowPosti hii inahusu zaidi uhusiano uliopo kati ya Mama Mjamzito na kibofu cha mkojo.ni mwingiliano unaokuwepo ambao usababisha Mama kukojoa sana wakati wa ujauzito.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi njia ambazo unaweza kuzitumia ili kuweza kupunguza homoni za kiume kwa akina dada.
Soma Zaidi...Mimba inaweza kutoka kutokana na maradhi, majeraha ama misukosuko mimgine. Kutoka kwa mimva haimaanishi ndio mwisho wa kizazi.
Soma Zaidi...Abali mkuu Nina mdogo wangu anawashwa Sana sehemu ya Siri mpaka anatoka vipele vingi kwenye mapaja korodani zake zimebadilika kuwa nyekundu na zenye kutisha uume wake nao umekuwa unakama mabaka umebabuka aisee nime angaika Sana kumtibia mpaka nakata tamaa
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi aina mbalimbali za uvimbe kwenye kizazi, uvimbe unatokea kwenye kizazi ila utofautiana kulingana na sehemu ambazo uvimbe huo umepata.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sababu za mimba ya miezi kuanzia minne mpaka sita kutoka , Kuna kipindi mimba kuanzia miezi mimne mpaka sita utoka kwa sababu mbalimbali.
Soma Zaidi...Maumivu ya tumbo nakiuno kwa mwanamke yanahitaji uangalizi wakina. Kwani kuna sababu nyingi ambazo zinawezakuwa ni chanzo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi kazi ya homoni ya testosterone, hii homoni kwa kiwango kikubwa ukutwa kwa wanaume ndiyo homoni ambayo umfanya mwanaume aonekane jinsi alivyokuwa na sifa zake zote.
Soma Zaidi...Miongoni mwa dalili zamwanzo za ujauzito ni maumivu ya tumbo ama kupatwa na damu kidogo. Mabadiliko ya ute ute sehemu za siri ni katika baadhi ya dalili. Endelea na makala hii utajifunza zaidi.
Soma Zaidi...Je kupata maumivu sehemu zinazoota mavuzi na kuwa namaumiv wakat wa haja ndogo na pia kwenye kichwa cha uume kunakua kama kunavimb hizo syo dalili moja wapi?
Soma Zaidi...