Njia za uzazi wa mpango kwa watu wenye Ukimwi
Posti hii inahusu zaidi njia za uzazi wa mpango kwa watu waliopata maambukizi ya Virusi vya Ukimwi.
Njia za uzazi wa mpango kwa watu waliopata maambukizi ya Virusi vya Ukimwi.
1. Watu hawa nawenye ni wanawake kama watu wengine, nao wanapaswa kuendelea kuzaa na kuishi, pia utumia Nina za uzazi wa mpango kwa maagizo ya daktari.
2. Wanaweza kutumia vidonge vya kupanga uzazi wa mpango.
3. Wanaweza kutumia sindano kama wanawake wengine
4, wanaweza kukata mirija kwa wote mke na mme
5. Wanaweza pia kutumia kondomu
6.wanaweza kupima Ute Ili kujua siku ya kubeba mimba
7, wanaweza kutumia kalenda method
Angalisho, kwa wagonjwa wa Ukimwi wanapaswa kutumia kondomu sana Ili wasiwaambukize wengine,
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Simulizi za Hadithi Audio 👉2 Madrasa kiganjani 👉3 kitabu cha Simulizi 👉4 Dua za Mitume na Manabii 👉5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉6 ai web app
Post zinazofanana:
Uchunguzi wa Nimonia kwa mtoto na Tiba
Posti hii inahusu namna unavyoweza kumtambua mtoto mwenye Ugonjwa wa Nimonia na tiba anayopaswa kupata mtoto mwenye Nimonia
Soma Zaidi...Mimba huonekana katka mkojo baada ya muda gan tangu itungwe
Kipimo cha mimba kwa mkojo kimekuwa kikitumika sana kuangalia ujauzito. Kipimo hiki kinapotumika vibaya kinaweza kukupa majibu ya uongo. Kuwa makini na ujue muda sahihi.
Soma Zaidi...Dalili za saratani kwa watoto.
Posti hii inahusu zaidi Dalili za saratani kwa watoto, ni Dalili ambazo ujitokeza kwa watoto na ikiwa mlezi au mzazi akiziona tu anaweza kutambua mara moja kwamba hii ni saratani au la na kama bado ana wasiwasi anaweza kupata msaada zaidi kutoka kwa wataa
Soma Zaidi...Kwanini nikimaliza kufanya mapenzi na mume wangu anawashwa sana!!!!!
Habari DoktaNikuulize kituu?
Soma Zaidi...