image

Ongezeko la homoni ya estrogen

Posti hii inahusu zaidi ongezeko la homoni ya estrogen, kwa kawaida homoni hii ya estrogen inapaswa kulingana ikitokea ikaongezeka uleta madhara mbalimbali kwenye mwili na Kuna dalili ambazo zzz inaweza kujionesha wazi mpaka tukafahamu kuwa ni tatizo la o

Ongezeko la homoni ya estrogen mwilini.

1.  Kama tulivyotangulia kusema hapo mwanzoni kwamba homoni aina ya estrogen inabidi iwe sawia mwilini isiongezeke Wala kupungua, ikiongezeka unaleta madhara yake na ikipungua pia inaleta madhara kwa hiyo ni kuhakikisha kwamba homoni hii ipo kwenye usawa wake na Kuna sababu ambazo zinaweza kusababisha kuongezeka kwa homoni hii kama ifuatavyo.

 

2.  Chanzo kimojawapo ni kutumia madawa yaliyotengenezwa viwandani kwa kawaida madawa kama vile madawa ya njia za uzazi wa mpango pengine huwa na homoni ya estrogen na Mama kama anatumia madawa hayo mara kwa mara au kila siku usababisha kuongezeka kwa homoni ya estrogen kwa hiyo ni vizuri kupima afya zetu na kuomba ushauri pale hali ya mwili ikibadilika Ili kuweza kuepuka matatizo au madhara mbalimbali kwenye mwili wa binadamu.

 

3. Matibabu ya homoni.

Kuna wakati mwingine Kuna homoni zinakuwa zimepungua mwilini katika hali ya kuongeza hizo homoni usababisha hali ya dawa kupitiliza,badala ya kuleta tiba usababisha matatizo ya kuongeza homoni pamoja na matatizo mbalimbali kwenye mwili.

 

4. Matumizi ya dawa za asili zinazotumiwa na akina Mama wengi hasa wakati wa kumaliza hedhi kwakitaalamu huitwa menopause, katikati kipindi hiki Kuna mabadiliko mbalimbali ambayo yanaweza kusababisha mwili kubadilika katika matibabu hayo unaweza kukuta unaongeza homoni bila ya kujua hali ambayo usababisha madhara mbalimbali kwenye mwili.

 

5. Kwa hiyo akina Mama katika kipindi cha ukomo wa hedhi kuanzia miaka arobaini na tano na kuendelea upata matatizo mbalimbali kwa hiyo ni vizuri kabisa kupata ushauri wa wataalamu wa afya Ili kujiepusha na matatizo ambayo yanaweza kutokea hasa hasa katika wakati wa kutoa matibabu wawe waangalifu zaidi kwa sababu kipindi hiki Kuna mabadiliko mengi kwenye mwili wa Mama.           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/03/Sunday - 04:29:41 pm Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1847


Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-

Mke Wang Ana tatizo la tumbo kuuma chini upande wa kushoto akishika ni pagumu ,anapatwa na kichefuchef tumbo kujaa ges na kujiisi kusiba he mtanisaidije ili kuondoa tatizo Hilo Ila anaujauzito wa wiki mbili
Miongoni mwa changamoto za ujauzito ni maumivu ya tumbo. Maumivu haya yanawezakuwaya kawaida ama makali zaidi. Vyema kufika Kituo cha Afya endapoyatakuwa makali. Soma Zaidi...

CHANGAMOTO ZA UJAUZITO, NA DALILI ZAKE NA NAMNA YA KUKABILIANA NAZO
Utawezaje kukabiliana na changamoto za ujauzito, je ni zipi changamoto hizo. Hapa nitakujuza. Soma Zaidi...

Dalili ya mimba ya wiki moja(1)
Mwanaume na mwanamke wanapo kutana na kujamiina kama mwanamke yupo kwenye ferlile process ni rahisi kupata mbimba. Sparm Zaid ya million moja huingia kwenye mfuko wa lakin sparm moja ndio huweza kuingia kwenye ovum(yai)lakin nyingine hubaki kwenye follopi Soma Zaidi...

Uzazi wa mpango kwa njia ya kumwaga manii nje.
Posti hii inahusu zaidi uzazi wa mpango kwa njia ya kumwaga shahawa nje, hii ni njia mojawapo kati ya njia za uzazi wa mpango ambapo mwanaume humwaga nje mbegu ili asimpatie Mama mimba. Soma Zaidi...

SABABU ZA KUTOKA KWA MIMBA (sababu za kuharibika kwa ujauzito)
Tafiti zinaonesha kuwa karibia asilimia 10% mpaka 25% ya wanawake wanaopata ujauzito, mimba zao hutoka. Soma Zaidi...

Njia za kufanya ili kuepukana na tatizo la kutokwa na majimaji kwenye uume
Posti hii inahusu zaidi njia ambazo mtu anapaswa kutumia ili kuweza kupunguza tatizo hili kisiweze kutokea na pia kama jamii ikishirikiana kwa pamoja tunaweza kuepusha kwa kufanya yafuatayo. Soma Zaidi...

Kutokwa na damu baada ya tendo la ndoa
Kutokwa na damu baada ya tendo la ndoabkunaweza kuashiria kuwa kuna majeraha yametokea huwenda ni michubuko ilitokea ndio ikavujisha damu. Lakini kwa nini hali kama hii itokee. Posti hii itakwwnda mujibu swali hili. Soma Zaidi...

Madhara ya tumbaku na sigara
Post hii itakwenda kuangalia madhara ya tumbaku na sigara anayoweza kuyapata mvutaji Soma Zaidi...

Ndug mi naitaj ushauri mimi nishaingia kwenye tendo dakika 7 tu nakua nishafika kilelen naomba ushauri ndugu
Kama unadhani una tatizo la kuwahi kufika kileleni basi post hii ni kwa ajili yako. Soma Zaidi...

Sabau za maumivu ya uume baada ya tendo la ndoa
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za maumivu ya uume baada ya tendo la ndoa Soma Zaidi...

Damu, majimaji na uteute unaotoka kwenye uke wa Mjamzito, sababu zake na dalili zake
Unataka kujuwa sababu za mjamzito kutokwa na damu, utelezi ama majimaji kwenye uke wake. Na dalili gani zinaashiriwa na majimaji haya Soma Zaidi...

Madhara ya kutumia madawa ya kupunguza maumivu
Posti hii inahusu zaidi madhara ya kutumia madawa ya kupunguza maumivu,ni madhara ambayo utokea kwa mtu anayetumia madawa ya kupunguza maumivu. Soma Zaidi...